Hilo ni jukumu la wazazi wote wawili kuhakikisha watoto wao hawaingii kwenye kasumba mbaya yoyote ikiwemo kujihusisha na umalaya.Ukiwa na wanao wa kike huna jukumu la kuhakikisha hawafanyi umalaya? Wanao wa kiume utawaacha wanunue malaya sababu wapo sokoni? Shubamiit.
Naona uliamua kulitolea uvivu jamaa lina akili za ovyo sana hili, sijui linatumia kiungo gani kufikiriJinga sana wewe jamaa, kwa hiyo wanawake hawajui kuwa umalaya ni ukosefu wa maadili mpaka wanaume wasimame kuwafundisha
Wewe ni simp moja mpumbavu sana
Ndoa ni ajira kwa mwanamke ndugu yangu divisheni foo yani hapo mwanaume unakuwa umemsaidia
1.Makazi
2.Chakula
3.Mavazi
4.Afya akiugua
5.Ulinzi na usalama
6.Watoto na heshima
7.Usafiri akitaka kusafiri
8.Ukifa anarithi Mali zote
9.na unaweza kumfungulia biashara yake
Yote hayo utayafanya in exchange of sex
Kihalisia watu kama huyo ndio wanawaharibu Wanawake na jamii kwa ujumla...kivipi?Hauna hoja mwehu wewe unanipotezea muda tu
Wakishakuwa kwenye ubora mara nyingi huwa hawataki wanaume wenye malengoHapa mtaani Kuna Binti ni msomi Tena wa ngazi ya stashahada kabisa amezalishwa na mvuta bangi tu mmoja ambaye Hana mbele wala nyuma...
Sasa hivi eti ndio anatafuta mwanaume mstaarabu afanye nae maisha...
Kulingana na hii comment yako, huyu Binti naye alikuwa ana malengo ya kuzaa na mvuta bangi kwanza kisha baadae ndio aje aolewe na mwpanaume mstaarabu etiiii???
Unaishi na malaya? Na wanao wanaishi hapo hapo?Mimi naishi Sinza hapa Kuna Wanawake Kibao ambao wanaojiuza.. kwa hiyo na Mimi ni mwanaume wa ovyo niliyefeli kisa tu naishi mitaa yenye malaya Kibao au?
Mbona umenielewa boss? Ushasema hapo juu ni jukumu la wazazi wote wawili, sasa kati ya baba na mama nani anamuongoza mwenzake. Toto lako na mkeo likiwa malaya na linatoka kwenye nyumba yako nani kafeli? Mnakimbia kimbia ila wanaume tukisimama sehemu yetu umalaya utapungua kama si kuisha, by the way sisi ndo wanunuzi wa hao malaya. Unakuta baba linaenda nunua malaya ana umri sawa na binti yake halafu unasema mwanaume hausiki? Akili gani unatumia kuhitimisha hivyo?Hilo ni jukumu la wazazi wote wawili kuhakikisha watoto wao hawaingii kwenye kasumba mbaya yoyote ikiwemo kujihusisha na umalaya.
Unachosimamia ni nini hasa mbona ueleweki?
Umalaya ni matokeo ya jamii iliyofeli. Hata mkikataa jamii inaongozwa na mwanaume. Mtakimbia kimbia ila ndo uhalisia.Naona uliamua kulitolea uvivu jamaa lina akili za ovyo sana hili, sijui linatumia kiungo gani kufikiri
Nimekutana na a lot of big time simps lakini sio wajinga kama hili jamaa la kujiita Tsh,
Naamini kabisa hata Hawa Wanawake aliokazana kuwatetea humu watakuwa Wanamuona mtu wa ovyo na wanamdharau sana, maana wao wenyewe wanajua kabisa mambo mengi ya ajabu ajabu ikiwemo hili la umalaya huwa wanafanya kwa utashi wao wenyewe bila msukumo wowote kutoka kwa wanaume.
Umekurupuka boss. Ukitulia ukaelewa kazi ya mwanaume katika jamii utaelewa ninachosema ila kwa sababu una mbio umekimbia tu bila kujali.Kihalisia watu kama huyo ndio wanawaharibu Wanawake na jamii kwa ujumla...kivipi?
Wanawake watakuwa wanafanya matendo yote ya kishenzi ikiwemo ukahaba, wakiamini kwamba Kuna watu kama Tsh wata justify matendo yao Tena huku wakitupa lawama zote kwa wanaume.
Na jamii yoyote iliyofeli kimaadili chunguza utakuta nyuma yake Kuna masimps Kibao yapo yapo tu kama mazombie Yana rationalize na kutetea tetea ovyo uovu wa Wanawake.
True, wengi ndio tunachopenda hikiTunataka ndoa sababu ni kutaka kutulia na mtu mmoja,kujenga familia na kugrow old together, mambo ya kushenyetwa na wanaume tofauti tofauti siyo hulka yetu.
Kwa taarifa yako wanawake bora wanapatikana Tz tu, huko kwingine kwa ulivyolelewa hautoweza.Hao billion 4 wapo daslam? (NB;daslam hamna hata mmoja wote matapeli) pia Hapo Kuna watoto walio olewa wazee na wagonjwa....
Kiufupi iyo moja nawapa wazazi wet kwa Maana ya mama zetu japokua wapo wanao zingua vile vile .... ila mabinti zao wote chenga.
Sawa nimekuelewa lakini wanawake ni last priority Kwangu.Kwa taarifa yako wanawake bora wanapatikana Tz tu, huko kwingine kwa ulivyolelewa hautoweza.
Tuvumulieni na njaa zetu, Sisi ndo tuko! 😂
Kwa hiyo nihame na familia yangu hapa nilipo kisa Kuna Malaya au?.... Haya huko ninapo hamia pakivamiwa na Malaya na penyewe nihame kisa nina kimbia Malaya au?Unaishi na malaya? Na wanao wanaishi hapo hapo?
Basi Sasa kumbe mara nyingi mateso wanayopitia baada ya wao kuwa masingle mothers huwa wameyasababisha wenyewe baada ya kufanya maamuzi ya ovyo!Wakishakuwa kwenye ubora mara nyingi huwa hawataki wanaume wenye malengo
Sijasema hama, nimeuliza swali boss, Sasa unadhibiti vipi hiyo hali isilete madhara kwa familia yako? Watoto wasiige wakidhani ni jambo sahihi?Kwa hiyo nihame na familia yangu hapa nilipo kisa Kuna Malaya au?
Hili la kuhama unalileta wewe, nimeuliza tu unaishi na malaya? Familia ipo hapo?.... Haya huko ninapo hamia pakivamiwa na Malaya na penyewe nihame kisa nina kimbia Malaya au?
Punguza kuchemka. Haupo vitani boss. Mijadala ya kawaida unachemka.Hivi huu ubongo unaotumia kuandika hapa ndio huo huo unaotumia kuvuka na barabara au???
Huyo mtu sijawahi msikia ila ukiacha kuchemka itapendeza.Halafu Kuna mtu mmoja humu aliwahi kusema eti wewe ndio mwanaume Smart humu??
Sasa kama ni hivyo haya malalamiko yako ilipaswa uyaweke kwenye muktadha wa individual level na sio kuongea too general kama kwamba wanaume wote tuko responsible kwa ushenzi tunaona ukifanywa na Wanawake.Mbona umenielewa boss? Ushasema hapo juu ni jukumu la wazazi wote wawili, sasa kati ya baba na mama nani anamuongoza mwenzake. Toto lako na mkeo likiwa malaya na linatoka kwenye nyumba yako nani kafeli? Mnakimbia kimbia ila wanaume tukisimama sehemu yetu umalaya utapungua kama si kuisha, by the way sisi ndo wanunuzi wa hao malaya. Unakuta baba linaenda nunua malaya ana umri sawa na binti yake halafu unasema mwanaume hausiki? Akili gani unatumia kuhitimisha hivyo?
Nini mantiki ya swali lako kuniuliza kwamba ninaishi na familia yangu hapa???? Unataka kusema nini hasa?Sijasema hama, nimeuliza swali boss, Sasa unadhibiti vipi hiyo hali isilete madhara kwa familia yako? Watoto wasiige wakidhani ni jambo sahihi?
Hili la kuhama unalileta wewe, nimeuliza tu unaishi na malaya? Familia ipo hapo?
Punguza kuchemka. Haupo vitani boss. Mijadala ya kawaida unachemka.
Huyo mtu sijawahi msikia ila ukiacha kuchemka itapendeza.