Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

Nani analala chooni, nani ana mapepo coz of mapambo...mmeambiwa mbona masaki watu wanaishi vizuri na vyote hivi. Acheni wivu wa maendeleo wajinga ndo waliwao.
Ikiwa magonjwa na mapepo ni Kwa maskini pekee,

Kwahiyo masaki au New York city hakuna magonjwa Wala makaburi?
 
Naona msaidizi wa Kakobe umesimama kwenye zamu yako!
 
Hao ma single mothers wana mengi! Mpaka mwanaume akatae mtoto lazima kuna sababu! Wakati mwingine wanaume wanakatataa kusingiziwa watoto wasio wa kwako!
 
Unataka niwe pagani kama wewe?
Sifa kuu ya wafilisti /Wapalestina tangu enzi ilikuwa ni KUTOKUTAHIRIWA, na ndo waliitwa WAPAGANI sababu waliabudu miungu.

Njooni Kwa Yesu, msiwe WAPAGANI na kukaliwa na kuteswa na Mapepo!!
 
Sifa kuu ya wafilisti /Wapalestina tangu enzi ilikuwa ni KUTOKUTAHIRIWA, na ndo waliitwa WAPAGANI sababu waliabudu miungu.

Njooni Kwa Yesu, msiwe WAPAGANI na kukaliwa na kuteswa na Mapepo!!
Kwenye biblia mahari ya kuolea ni magovi ya wapalestina, unalijuwa hilo?
 
Mkuu Kanisani Mapepo hayawezi kutolewa kwa njia ya Maombi sio rahisi kutoka mapepo katika mwili wa binadamu . Mapepo machafu yana utaratibu wake maalum kutolewa na sio kwa kutumia maombi ya wachungaji sio rahis kutoka mapepo.
 
Wanawake ni viumbe dhaifu. Na ndio maana pepo nyoka aliwadanganya huko bustani ya eden
 
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hakuna mkristo humu hata mmoja, kwa maana ya lumfata kristo.
Humu kuna waislamu wengi ila najua ww pia sio muislamu kwa matendo na maneno yako.na usipende kudhan mafunzo yako ya dini ni gold standard. Acha kuchukia wasio waislamu hii mpaka umekuwa labeled hivo na watu ww nje ya uarabu na uislamu unaamin hivo vingine ni takataka usiwe hivo I beg u dada
 
Kumcha Mungu ndicho chanzo Cha maarifa na ufahamu.

Kwenda shule na Usijue Uwepo wa Mungu na shetani ni kupapasa gizani.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚so ma atheists kina bill gates na Elon musk hawana akili we unayeona mapepo ndo umewazidi. Sawa mkuu
 
Mkuu Kanisani Mapepo hayawezi kutolewa kwa njia ya Maombi sio rahisi kutoka mapepo katika mwili wa binadamu . Mapepo machafu yana utaratibu wake maalum kutolewa na sio kwa kutumia maombi ya wachungaji sio rahis kutoka mapepo.
Mapepo yanatokewa Kwa Jina La YESU kristo.

Tofauti na hapo ni kupinga Pepo na kubembelezana nayo.

Wanawake waache kuvaa vitu vya mapepo Ili iwe Rahisi kuachana nayo moja Kwa moja!!
 
Kwahiyo kwako kununua MAKAHABA unaona ndio akili?

Kuwajaza mimba wasichana na Kutolea watoto ndo akili?

Baba na Babu Yako wangekuwa na mawazo kama uliyonayo, ungekuwepo Leo?
Babu na Babu yangu "whatever that means sijui ndo ushoga" hawakuishi enzi za Instagram, enzi za lodge kila sehemu watu wanakula wake za watu, wanawake ofisini kuliwa na mabosi zao, wanawake vyuoni kuliwa na walimu, mababu zetu hawakuishi kipindi ambacho mtu Akiwa Malaya anasifiwa na kuitwa slay queen. So usiforce kuishi maisha ya Babu yako katika dunia ya saa hivi utaumia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hizi story za watu kwenda hospital kukosa ugonjwa ni story za mwamposa umeenda zahanati kupima cancer kweli...unategemea nini...afu mtu akupigie kelele upone...hizi story bana...πŸ˜‚za kukusanya sadaka tu kwa wajinga
 
Mungu na SHERIA na maagizo ya Mungu hayabadiliki sababu ya utandawazi.

Hadi Leo, Wana wa Mungu Wana NDOA zenye upenda na Amani.

Njoo Kwa Yesu up one.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hamna daktari anaamini mapepo uliona huyo sio daktari au anataka tu umchukue mgonjwa wako uondoke nae .. hivi vitu ni mental na vinajulikana ni mental so kama hajui tiba exactly doesn't mean ndo uweke mapepo. Zamani magonjwa yote watu walijua ni mapepo coz elimu na Sayansi haikuwepo saa hivi wanaamini mapepo ni watu wasio na elimu na maskini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…