Kwanini wanawake wengi huwaona waume/wanaume zao kama hawana akili au wana akili za kitoto?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.

Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.

Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za kuvukia barabara na za kuendea kazini.

Kwanini wanawake mna wadharau wanaume zenu?

1704538833833.jpg

1704611793687.jpg
 
Habari bwana bujibuji,

Hao wanawake wanakufuata kwa kukuelezea yapi ambayo yanatufanya wanaume tuonekane punguani?
Tupatie tu maelezo unayoambiwa (kiuchumi na mahusiano)

Siwezi kukubaliana nawe bila malalamiko/aina ya ushauri kwa mfano ili tuweze kupinga/kukataa usemayo or wasemayo.

Tuelewe kuwa,akili haijagawanyika kwa jinsia hivyo mitazamo yao na changamoto zao labda kwenye ndoa zisifanye ufike/tufike muafaka jinsia fulani haina akili.
 
Mimi ni mwanaume ila mara nyingi nikikaa na wanaume wenzangu, nagundia ni watoto kiakili. Wanaume wengi wa Kiswahili hawana uwezo wa kutumia akili zao vizuri.

Nimejikuta hata sipendi kuchangamana nao anywhere. Nikitoka kazini naenda kupumzika ghetto. Kahawa najiandalia mwenyewe, mpira natizama mwenyewe nyumbani.

Kwa ufupi wanaume hususani wa Kiswahili wanachoweza kukifanya kwa usahihi ni kukwamishana kimaendeleo
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe.

Wanaendeshwa na hisia kuliko fikra tunduizi.

Kamwe hakuna utakachofanya ndani ya ndoa mwanamke akaridhika, NEVER EVER ON EARTH.

Ewe mwanaume kumbuka hawa viumbe wana visirani muda wote juu yako, hivyo jikumbuke wewe kwanza ktk kila kitu kabla yao maana hata ufanyeje bado atakuita mbwa mbele ya wenzake.

Ukimpa hela atatumia hela hizo kuwahonga viserengeti boys na ukiwa hauna hela toshelevu atasema wewe ni mwanaume suruali .

Ukiwa unapiga 3 bila daily ipasavyo utasikia nimechoka hivyo punguza kidogo, ukiondoka anasema mwanaume wangu ni goigoi, akipiga moja tu chali hadi wiki ijayo.

Kwa ujumla achana na wanawake hata aliyewaumba aliagiza tuishi nao kwa akili maana alijua hawq viumbe wake ni balaa.
 
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.

Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.

Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za kuvukia barabara na za kuendea kazini.

Kwanini wanawake mna wadharau wanaume zenu?

View attachment 2869311

View attachment 2869312
Mke Akigongwa nje bila wewe kushtuka, lazima akuone Zoba. Ili usiambiwe hivyo akikisha ugongewi.
 
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.

Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.

Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za kuvukia barabara na za kuendea kazini.

Kwanini wanawake mna wadharau wanaume zenu?

View attachment 2869311

View attachment 2869312
1704341978961.jpg
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe.

Wanaendeshwa na hisia kuliko fikra tunduizi.

Kamwe hakuna utakachofanya ndani ya ndoa mwanamke akaridhika, NEVER EVER ON EARTH.

Ewe mwanaume kumbuka hawa viumbe wana visirani muda wote juu yako, hivyo jikumbuke wewe kwanza ktk kila kitu kabla yao maana hata ufanyeje bado atakuita mbwa mbele ya wenzake.

Ukimpa hela atatumia hela hizo kuwahonga viserengeti boys na ukiwa hauna hela toshelevu atasema wewe ni mwanaume suruali .

Ukiwa unapiga 3 bila daily ipasavyo utasikia nimechoka hivyo punguza kidogo, ukiondoka anasema mwanaume wangu ni goigoi, akipiga moja tu chali hadi wiki ijayo.

Kwa ujumla achana na wanawake hata aliyewaumba aliagiza tuishi nao kwa akili maana alijua hawq viumbe wake ni balaa.
Men are from Mars, women are from Venus
 
Wapo sahihi kwa vile wanawake wanapevuka mapema ,wana akili za maisha kuliko sisi wanaume .

Sababu zipo nyingi katina ndoa wanawake ndio wanashika maendeleo ya familia hakuna mwanamke anaweza kushinda bar kutumia pesa nyingi halafu watoto wanalala njaa.

Kama utakaa vizuri na kufuatulia ni kwamba wanawake wengi wakiingia kweny ndoa wakapata mahitaji yao ,wakawa na biashara au kazi za kufanya wanatulia sana ...Ila sisi wanaume akishaoa ndio mablaa yanaanza ..

Wanawake wengi wanapenda kuolewa na watu wazima ( wanaume) kwa sababu wanajua wametulia hawana akili za kitoto.

Kama unabisha angalia sisi wanaume mazungumzo yetu ya hovyo kama ngono ,ushabiki wa siasa ,mipira mambo hayagana faida kabisa hata ukae na mtu wa miaka 40 na kitu ujinga ni huo huo.

Mwanamke kuanza kuchepuka huku akimaliza pesa ni utoto ,mwanaume kushinda kuhimili tamaa za kimwili kila mwanamke twende ni utoto.

Mwanaume kushindwa kutumia pesa vizuri kuleta maendeleo yako kweny familia ni utoto,unakuta mtu kazi bata tu familia kaacha pembeni ,ujinga tu ...Ukitaka kwenda starehe beba familia yako mkale ni baraka.
 
Mwanaume mzima anataka kubembelezwa we unadhani wanawake watacomment nn?
Kutwa kucha kwakua umejipata kidogo misifa kibao unadhani watacomment nn?
Mwanaume wa kweli ni mtu flani hivi....
Elewa maana ya MTU FLANI HIVI
over
 
Muda mwingine wanawake wanashindwa kuaccept reality kuwa wanaume kweli Wana akili za kitoto lakini akili hizo zimezidi akili zao.

Mwanaume akiwa na akili za kitoto basi mwanamke ni mara Saba yake.Cha ajabu ni kuwa wanawake wanataka tukubali nature Yao ya kuwa emotional huku wanakataa kukubali nature yetu ya kuwa na akili za kitoto zinazowaongoza.
 
women think the same about men.

1. Women think their son(s) is a genius.

2. Women think their father(s) is a hero.

3. Women think their brother (s)deserve a better woman.

4. Women think their husband(s) is an idiot.

Ndio maama unaona wanawake wanatuona wanaume kama hatuna akili timamu.

Wanawake wana mawazo sawa juu ya wanaume ila wanawa categorize, kaka, mtoto, baba na mume.
 
Hatari sana
 
Wapo sahihi kwa vile wanawake wanapevuka mapema ,wana akili za maisha kuliko sisi wanaume .

Sababu zipo nyingi katina ndoa wanawake ndio wanashika maendeleo ya familia hakuna mwanamke anaweza kushinda bar kutumia pesa nyingi halafu watoto wanalala njaa.

Kama utakaa vizuri na kufuatulia ni kwamba wanawake wengi wakiingia kweny ndoa wakapata mahitaji yao ,wakawa na biashara au kazi za kufanya wanatulia sana ...Ila sisi wanaume akishaoa ndio mablaa yanaanza ..

Wanawake wengi wanapenda kuolewa na watu wazima ( wanaume) kwa sababu wanajua wametulia hawana akili za kitoto.

Kama unabisha angalia sisi wanaume mazungumzo yetu ya hovyo kama ngono ,ushabiki wa siasa ,mipira mambo hayagana faida kabisa hata ukae na mtu wa miaka 40 na kitu ujinga ni huo huo.

Mwanamke kuanza kuchepuka huku akimaliza pesa ni utoto ,mwanaume kushinda kuhimili tamaa za kimwili kila mwanamke twende ni utoto.

Mwanaume kushindwa kutumia pesa vizuri kuleta maendeleo yako kweny familia ni utoto,unakuta mtu kazi bata tu familia kaacha pembeni ,ujinga tu ...Ukitaka kwenda starehe beba familia yako mkale ni baraka.
Ujabahatika kuta wanawake wa hovyo wasiojali familiar wewe,
Mwanamke anakula na akili chuchu zikishalala na mswambanda umepeleta.
Angalau miaka 50 we huoni kila kitu kwao ni bandia si nywele,kucha,kope nk
 
Back
Top Bottom