To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂😂🙊Mimi ni mwanaume ila mara nyingi nikikaa na wanaume wenzangu, nagundia ni watoto kiakili. Wanaume wengi wa Kiswahili hawana uwezo wa kutumia akili zao vizuri.
Nimejikuta hata sipendi kuchangamana nao anywhere. Nikitoka kazini naenda kupumzika ghetto. Kahawa najiandalia meenyewe, mpira natizama meenyewe nyumbani.
Kwa ufupi wanaume husissani wa Kiswahili wanachoweza kukifanya kwa usahihi ni kukwamishana kimaendeleo