Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mke Akigongwa nje bila wewe kushtuka, lazima akuone Zoba. Ili usiambiwe hivyo akikisha ugongewi.Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.
Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.
Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za kuvukia barabara na za kuendea kazini.
Kwanini wanawake mna wadharau wanaume zenu?
View attachment 2869311
View attachment 2869312
Nimekuwa nikufuatwa na wamama/ wanawake na hata mabinti wa rika mbalimbali wakiomba ushauri wa mambo ya kiuchumi na mahusiano.
Ila katika malalamiko mengi utasikia mwanamama akilalamika kwamba mwenzangu ana akili za kitoto.
Mwingine utamsikia akisema kabisa kwamba mume wangu ana akili za kuvukia barabara na za kuendea kazini.
Kwanini wanawake mna wadharau wanaume zenu?
View attachment 2869311
View attachment 2869312
Men are from Mars, women are from VenusWanawake akili zao wanazijua wenyewe.
Wanaendeshwa na hisia kuliko fikra tunduizi.
Kamwe hakuna utakachofanya ndani ya ndoa mwanamke akaridhika, NEVER EVER ON EARTH.
Ewe mwanaume kumbuka hawa viumbe wana visirani muda wote juu yako, hivyo jikumbuke wewe kwanza ktk kila kitu kabla yao maana hata ufanyeje bado atakuita mbwa mbele ya wenzake.
Ukimpa hela atatumia hela hizo kuwahonga viserengeti boys na ukiwa hauna hela toshelevu atasema wewe ni mwanaume suruali .
Ukiwa unapiga 3 bila daily ipasavyo utasikia nimechoka hivyo punguza kidogo, ukiondoka anasema mwanaume wangu ni goigoi, akipiga moja tu chali hadi wiki ijayo.
Kwa ujumla achana na wanawake hata aliyewaumba aliagiza tuishi nao kwa akili maana alijua hawq viumbe wake ni balaa.
MasimangoWanatuongelea vibaya sana wakiwa wenyewe
Hatari sanawomen think the same about men.
1. Women think their son(s) is a genius.
2. Women think their father(s) is a hero.
3. Women think their brother (s)deserve a better woman.
4. Women think their husband(s) is an idiot.
Ndio maama unaona wanawake wanatuona wanaume kama hatuna akili timamu.
Wanawake wana mawazo sawa juu ya wanaume ila wanawa categorize, kaka, mtoto, baba na mume.
Sawa bwanaSasa mtu ambae unatafuta kwa tabu na jasho unakuja kutoa kiulaini kisa sehemu ya kutolea taka mwili huoni kwamba lazima uonekane punguani
Ujabahatika kuta wanawake wa hovyo wasiojali familiar wewe,Wapo sahihi kwa vile wanawake wanapevuka mapema ,wana akili za maisha kuliko sisi wanaume .
Sababu zipo nyingi katina ndoa wanawake ndio wanashika maendeleo ya familia hakuna mwanamke anaweza kushinda bar kutumia pesa nyingi halafu watoto wanalala njaa.
Kama utakaa vizuri na kufuatulia ni kwamba wanawake wengi wakiingia kweny ndoa wakapata mahitaji yao ,wakawa na biashara au kazi za kufanya wanatulia sana ...Ila sisi wanaume akishaoa ndio mablaa yanaanza ..
Wanawake wengi wanapenda kuolewa na watu wazima ( wanaume) kwa sababu wanajua wametulia hawana akili za kitoto.
Kama unabisha angalia sisi wanaume mazungumzo yetu ya hovyo kama ngono ,ushabiki wa siasa ,mipira mambo hayagana faida kabisa hata ukae na mtu wa miaka 40 na kitu ujinga ni huo huo.
Mwanamke kuanza kuchepuka huku akimaliza pesa ni utoto ,mwanaume kushinda kuhimili tamaa za kimwili kila mwanamke twende ni utoto.
Mwanaume kushindwa kutumia pesa vizuri kuleta maendeleo yako kweny familia ni utoto,unakuta mtu kazi bata tu familia kaacha pembeni ,ujinga tu ...Ukitaka kwenda starehe beba familia yako mkale ni baraka.