Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Point namba 3 Nakupa KONGOLE[emoji4][emoji106]
 
Mtu anakuambia kabisa mi nataka nizae na wewe tu ntalea mwenyewe! Haya mambo sio ya kudiscuss tena Tuishi nayo tu....
Acha kabisa,
Wanatafuta sperm donor, jichanganye Sasa[emoji4]
 
Ongezeko la single maza........ongea pia kuhusu wanaume wanaokimbia mimba, naona wengi mnaongea tu ubaya kuhusu hao ma single mother......em jiongeleeni pia nyie wanaume.....nyie ndio walaghai na matapeli wakubwa..... wanawake Wana upendo na nguvu ndo mana wanaweza kukaa na watoto na kuwatunza bila nyie..... WANAUME WAHESHIMUNI MA SINGLE MOTHER'S KWA SABABU NYIE NDO VYANZO VIKUBWA VYA KUWEPO HAO SINGLE MOTHER'S

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
We jamaa Unaogopa fujo za mchepuko ambae hata hamjazaa...

Mruhusu ajiunge na hiyo dating app na sitisha huduma kwake na kwa mwanae.
 
Dah!..huyu akija kuolewa atazaa kweli ?....
 
Ulimbukeni wa mapenzi unawafanya hata watu wa zima 40+ kuwa easily manipulated,

Yani unajihisi unapendwa sana, ilhali mtu kashasema anachohitaji nimteremko mtu wa kumtunza.. wewe kwanini hutaki kuachana naye???
 
hahahah we muhuni sana mzee kwahio unambugilisha p2 kisha unamlaumu mbona hashiki mimba
 
Hivi unajua nguvu ya mchepuko mwenye mtoto wako? Usiombe tena hasa ukiwa na mke na familia. Huyo mtoto atakuwa fimbo ya kukuchapia hasa kama unataka kutunza siri.
 
Hii akili nzuri haswaa. Ni kupoteza ushahidi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…