DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Point namba 3 Nakupa KONGOLE[emoji4][emoji106]umeongea ukweli kuhusu future ya jamii zetu na ya taifa in generla. issue ya single mamas; bila kuhusisha data kama uliyo sema, kwa mtazamo wa kawaida tu ninaweza sema inaanzia katika jamii zetu wenyewe.
1. inaanzia katika malezi ya zama hizi tulizo nazo, how? Technically Single mama huwa wanaishi kwa kujihami "najilisha, najivalisha" mtoto anae lelewa na single mama hukuwa ktk imani hii na hata yeye atakuwa akiamini kuwa akishakuwa na access ya mbili tatu basi mwanaume sio issue tena kwake, anaweza zaa mtoto na kulea nk. hivyo stream ya single moms inazidi kuongezeka kwasababu hyo.
2. Wanaume nao wanaona vile single mamas wanavyo ishi, ikitokea akawa na mahusiano na mtto wa single mama basi always ataishi kwa tahadhali ya kudhalauliwa, hvyo ataishi akiamini mtoto huyo ana mindset kama ya mama ake, so ni suala la muda tu before hawaja achana. Kwa mentality hii relationships kama hizo huwa hazifiki mbali, tayari anakuwa anaandaliwa single mama mwingine.
3. Wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye sifa zenye kufanana na mama zao, angalau kidogo. Wanaume hao hao wamezaliwa 90's. Inamaana mama zao ni old model, mabinti wa leo wana lifestyles nyingine kabisa hawapo katika angle za waoaji...so mahusiano mengi yanakuwa short term, hata ikitokea mimba basi wanaweza kulea tu, ila si kigezo cha kuishi wote.
Naomba nisinukuliwe vibaya tafadhali...usipo elewa ukae tu kimya, ukielewa pia kaa kimya.