Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Mama Tozo keshatoboa siri, kwamba wadada wa leo wengi ni wacheza football hivyo hawana mvuto kwa wanaume, yaani ni vijeba kama kina Morrison na Dilunga tu, sasa mwanaume gani ataoa mdada wa hivyo 🤣🤣
 
Shida Ni kupenda USIPOPENDWA , na kuharakisha vitu kwa kudhani utakapozaa ndo utaolewa
 
1.Wapo waliojiamulia wenyewe wawe single mothers kwa sababu umri umewatupa mkono so at least wasikose mtoto
2.Wapo ambao wamekua single mothers baada ya mahusiano yao kuvunjika ilhali alikua tayari ana mimba.na sababu ya kuvunjika kwa uhusiano labda ni kwa sababu aliyemzalisha alikua ni muongo kwenye mambo mengi ambayo alimshirikisha ila ikawa too late kwa hyo mwanamke kufahamu au kutokukaa mda mrefu kwenye mahusiano na kufahamu tabia halisi ya mwanamume wake
3. Wapo ambao waliachwa kwa sababu ya kujitahid kuficha tabia zao halisi kwa muda mrefu na hvyo tabia hzo zinapokuja kujidhihirisha basi mwanamume humuacha kwa sababu anaona hataweza kuishi nae kwenye ndoa,sababu kama;wivu,kiburi,kususia tu mambo mbalimbali bila sababu ya msingi,kutokuwaza future na kupenda kutumia hela bila kujua namna ya kuongeza kipato ni sababu chache ambazo mwanaume akishaziona anaona hapa kwa kwel hata kama ana mimba basi haiwezekan kuvumilia hili
4.Teen pregnancy
 
Wakati mwingine kuliko kuwa kwenye mahusiano yanayokera na kukupa maumivu ya kila siku Ni Bora kuwa single mother aseee,maisha ya mahusiano yasipokupa furaha yanatesa sana
 
1. Baadhi ya Tabia za pande zote mbili(wanaume na wanawake)
2. Baadhi ya mitazamo ya wanaume na wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…