Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naona kama naelewa madai ya huyo madam mdogo wako ila hapo mwishoni kanipoteza kabisa.
Hebu fikiria, kwa sasa huna mtoto nae anakutishia kuja kufanya fujo home kwako je akiwa na katoto
kako atafanya nini?....Tuliza akili ufikirie
niuzie hiyo kandarasi mkuu
Muje tuwazalisheeeKuwa single mother siyo mwisho wa kuolewa au kuzaa.
AiseeBumble
Piga chini huyo akija home mrecord video kisha mshughulikie kama FFU wanavyowashughulia waandamanaji wa chadema si kakuvamia kwako! Ita polisi waje wamkamate mvamizi trespasser.Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu
Jamaa anacheza na moto.Fikiria na hayupo tayari kumuacha,
Kiufupi nyie wote ni wajinga!!!Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
Kweli ulimjibu ukiwa umekasirika. Huenda huko nyuma alikuwa ametulia kama alivyotulia kwako ila baba mtoto ndiyo kazengua ndiyo maana mwanzoni nilikuwa naelewa elewa hoja yake. Shida inakuja hapo kwenye tishio lake.Last week nimekasirika nikamjibu kama ulikuwa unapenda kuwa na familia bora iliyonyooka ni kwanini alikuwa unarukaruka na wanaume mpaka wakakuzalisha kabla ya kuolewa ?
Huyu mwamba hiko cheo ana deserve.Deep Pond unaitwa huku uje kutoa ushauri wako Rais Mkuu wa Michepuko JF [emoji2960]