Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Kata matunzo kwa mtoto wake akuuliza mwambie sio wako na wewe unadate na yeye na sio mtoto.

Then punguza kumtunza mpaka aone hauna umuhimu atakuacha mwenyewe
 
Nilikuwa naona kama naelewa madai ya huyo madam mdogo wako ila hapo mwishoni kanipoteza kabisa.
Hebu fikiria, kwa sasa huna mtoto nae anakutishia kuja kufanya fujo home kwako je akiwa na katoto
kako atafanya nini?....Tuliza akili ufikirie

Last week nimekasirika nikamjibu kama ulikuwa unapenda kuwa na familia bora iliyonyooka ni kwanini alikuwa unarukaruka na wanaume mpaka wakakuzalisha kabla ya kuolewa ?
 
Piga chini huyo akija home mrecord video kisha mshughulikie kama FFU wanavyowashughulia waandamanaji wa chadema si kakuvamia kwako! Ita polisi waje wamkamate mvamizi trespasser.
 
Sikiliza huu wimbo mpaka mwisho, utapata jibu nini cha kufanya, ukiona hujapata jibu endelea tu kuusikiliza mpaka kieleweke

 
Jf kazi sana

Itoe ushauri wa ndoa

Na ushauri wa uchepukaji

Pambana tu...ndio mshahara wa dhambi huo

Kwanza imekuwaje mvhepuko umejua kwako?

Au ndio nyie mkipata michepuko hadi wake zenu mnawasengenya huko???
 
Kiufupi nyie wote ni wajinga!!!

Chakufanya;
1.Achana naye kwani hamkuzaa.
2.Akileta fujo wakati hamjazaa ni bora kuliko kuzaa naye, mute tu.
3.Usitoe matunzo kwa mtoto wako, sio wako.
4. M-block.
5.Mwache ajiunge na hizo site apate wa kumtimizia haja zake!!!
6.Usitoe msaada wa fedha.

Wewe kwenye fuvu zipo sawa kweli? Kama njemba ya mtoto ilisepa wewe unashindwa nini kula kona ambapo hamjazaa?

Aiseee!!! Wanaume siku hizi wameisha wamebaki wavulana tu mitaani.

Ungekuwa karibu nami ningekulabua makofi, unaaibisha sana wanaume wenzako!!

Ushauri gani unataka upewe? Huna akili kwani? Una mtoto f6 unauliza maswali kama ya mtoto wa f4?
 
Last week nimekasirika nikamjibu kama ulikuwa unapenda kuwa na familia bora iliyonyooka ni kwanini alikuwa unarukaruka na wanaume mpaka wakakuzalisha kabla ya kuolewa ?
Kweli ulimjibu ukiwa umekasirika. Huenda huko nyuma alikuwa ametulia kama alivyotulia kwako ila baba mtoto ndiyo kazengua ndiyo maana mwanzoni nilikuwa naelewa elewa hoja yake. Shida inakuja hapo kwenye tishio lake.
 
Kama 1st born yupo form 6, lets say on average ulimpata ukiwa 25yrs, so tuweke na miaka ya shule za kibongo ni 13yrs, weka na 7yrs za kuanza shule inakua 20. Hapo kwa makisio unacheza 50 smthng au karibu hapo. Then unataka upate kipande na mchepuko. Hapo mtoto akizaliwa humsaidii wala yeye hakusaidii. Na kama haitoshi hapo umeshaliwa timing ya mafao, maana yakishatoka tu na ye atataka mgao wa kumsomesha mtoto/ watoto. Pole ndugu. Dawa yako iko jikoni inachemka na uzi wako wa kupigwa na kitu kizito nahisi inabidi uanze kuuandaa.
Hapa ndo unaelewa kwanini starehe nyingi zinaanza na herufi K.
 
Na hilo tishio lake lazma utasanda. Tena ukute wife ako kichwa ake iko nusu pande za ubongo, jiandae na dawa za presha au bili ya mitungi.
 
Haya masuala yakitoto mnapofanya watu wazima mnatupa mashaka na kuhisi labda mmekua miili lakini akili bado zakitoto.

Huyo mdada anaona sio muda utastaafu kwahiyo anataka uhalali wa kuwa mnufaika wa pensheni maana atakuburuza ustawi kama usipomhudumia.

Achana nae na hizo vurugu mwambie aje hata kesho nyumbani azifanye akimaliza asepe. Unampa heshima Sana kuita kamchepuko na Ana umri sawa na mfalme zumaridi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…