Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Dawa ya Moto ni Moto
 
Unampotezea muda wifi yetu mama J,Ulisikia wapi tabia inabadilika?we Kama unampenda fanya umpe zawadi ya watoto.
 
Kauli mbiu muhimu ukiwa mlevi na muatamiaji sharti ukubali kuitwa mwakuliwa na uendelee kuliwa na kula na usigutuke wakati kugutuka huwezi na hujui maana yake, K ikikukaa kichwani design yako hawashauriki mpaka K ichuje may be na asijiboost.

La haula la kwata unabutua
 
Unampotezea muda wifi yetu mama J,Ulisikia wapi tabia inabadilika?we Kama unampenda fanya umpe zawadi ya watoto.
Kwa mwendo anaokwenda nao,
Hata ungelikua mwanaume nikasema namkupa bure, usingemkubali.

Kumzalisha na tabia mbovu hizi, Ni kujichumia janga kusudi kabisa
 

Single Mothers wanaongezeka Tanzania kwa speed SGR.​

 
Wanawake wengi sasa hawana akili ni wajinga mno,

Zisingekuwa nyege hakika nisingethubutu hata kuwagusa

Wanawake wa hv ndo wanatufanya tuone kuwa ni heri kununua malaya
Ukahaba hautakuja kuisha kwa aina za wanawake wa leo.
Sote tuna makosa wanawake na wanaume pia haswa sisi wa kizazi hiki.

Wazee wetu walikua hawachezi mbali na kichapo kwa wake zao, iwe kosa kwa baba au mama, mama anachezea kichapo cha haja.

Hii ilileta heshima na vitu kama hivi vilikuwa ni nadra sana kuvisikia, eti mwanaume anateswa na mapenzi!

Siku hizi huko kwenye ndoa hakuna tena mapenzi ,hakuna heshima wala hio ndoa yenyewe, badala yake ni stress mahangaiko huzuni na mengi yasio na furaha, huko kwenye ndoa kitu kilichobaki ni kuvumiliana tu.

Bahati nzuri unakutana na mtu mnakua kwenye mahusiano mnapunguza stress na mahangaiko ya hapa na pale , baada ya muda unakuja kugundua hakuna ulichokimbia, mwisho wa siku malaya na kahaba nafasi yao inaoneka ya muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…