Kwanini wanawake wengi ni single mothers?


Kwaiyo wewe bro mchepuko anakuuma na unataka ushauri mkuu?? Mimi nimeoa na nikiri nachepuka na nilimwambia Mungu kabisa sitaki kupenda mwanamke zaidi ya mke wangu na ndo ipo ivyo..... nachepuka lakini mchepuko hawezi ninyima raha na anasema nina roho ya kikatili sana kwasbabu ukweli ni kwamba haijawai kutokea yeye kujua nakaa wapi au mke wangu ni nani wala kujua ata sura ya mke wangu siruhusu Ichi kitendo na ikitokea mchepuko kaongelea ndoa au nyumba yangu ni dakika iyo iyo anakula block na namba nafuta..... be a man jamaa mke ana heshima yake yani mchepuko anakupiga biti nakuja om unambwela??

Kwanza Acha mazoea yakumuingiza mkeo kwenye issue zako tujaribu kuwa heshima kidogo..... walahi nakwambia mimi mchepuko akijaribu kuuliza maswala ya kwangu ni kama umeniambia nikuchukie kwasababu ukweli ni kwamba mke wangu hauhusiki na kuchepuka kwangu ni tamaa zangu..... usiruhusu huo upumbavu utakuja kukuaribia ndoa yako jiwekee mipaka..... sasa unaona adi wivu mjuba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchepuko wivu wa nini kwake mkuu wangu??? Wivu kwa mkeo mzee wangu mimi mke wangu pekee ndo anaweza kunivuruga akili lakini sio mwanamke mwengine wa nje huwa ukizingua nakuacha tena fasta sana na sinaga majuto juu ya mchepuko
 
Mfundishe jamaa namna ya kudeal nae sasa maana tayari inaonekana maji yapo shingoni
 
Huyo si ni mchepuko tu, hana gharama...usiogope kuja kwako na akija mchape vibao vya kufa mtu.

Mtoto si wako usikute kazaa na kibaka tu wa mtaani halafu anakudanganya kuwa hana mawasiliano na huyo kibaka kumbe yupo na pengine anakuona mtaani ukipita.

Achana naye tu, mademu wa kibongo wanachosa sana na hawajitambui hata kidogo.
 
Wee ACHANA NAYE HUYO,
umri huo na watoto wa.4
BADO UNA ENDESHWAA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina data ambazo zinathibitisha kutoka mamlaka husika lakini kwa tathmini kutoka mitaani tunakoishi, maofisini tunakofanya kazi, makanisani na misikitini hali inaonekana dhahiri shahiri kuwa idadi ya single mothers inakua kwa kasi kubwa sana.

Turudi nyuma kidogo miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa binti akizalia nyumbani akiwa anaishi na wazazi wake au kijana kumzalisha binti wakati kijana huyo akiwa anaishi kwa wazazi wake ilikuwa ni mwiko (taboo). Lakini kwa sasa kuna kitu hakipo sawa. Inaonekana ni jambo la kawaida sana na mpaka limepewa jina la kizungu “Single Mother”

Tujadili pamoja ongezeko hili tatizo ni mmomonyoko wa maadili au ni ukosefu wa wanaume wenye uthubutu wa kuoa? Ama wanaume ni wachache? Au ni fasheni na mfumo mpya wa maisha?

Tufahamu kuwa Familia ndio kiini na chimbuko la Taifa lolote, hofu yangu ni kwamba kama idadi ya familia za single mother zitaendelea kutakuwa na walakini katika Taifa katika miaka kadhaa ijayo, tunaweza kuona ni kitu cha kawaida tu lakini athari zake tutakuja kuziona miaka ijayo.

Karibuni kuchangia mada.
 
Kwani watoto wa single mothers wana kasoro gani ukilinganisha wale wa wazazi wawili?
 
Ujuaji mwingi sana ndio shida.

Mabinti wengi wa kizazi hiki ni wajuaji sana, wakati wakiwa na hamu wanasahau yote wanatanua mipaja na mimba chwa, wakizaa wanaendeleza ujuaji matokeo yake wanatelekezwa wanaishi kusema ooooh mwanaume suruali mali wanaume siku hizi hamna..... Punguzeni ujuaji na mdomo...
 
Na jichanganye uoe single mother utaelewa show😀😂
 
Sio mmomonyoko wa maadili ila ni njia walioamua kuchagua kuwadharau wanaume wengi wenye nia nzuri ya kuwaoa na kuwakimbilia mabishoo na wazee wenye pesa halafu wanaawaacha matatani kama unataka data zako zikamilike zaidi basi chunguza na aina ya wanaume waliozaa nao ndio utajua tatizo liko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…