Kwanini wanawake wengi wakipigana hupenda kuvuana nguo

Kwanini wanawake wengi wakipigana hupenda kuvuana nguo

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
katika kesi nyingi za ugomvi wa wanawake wanapenda sana kudharirishana kwa kuvuana nguo.
Wanaume hata wapiganeje huwezi kuona wanavuana suruali.

wamama na wadada vipia hapo,
1539260693420.png

Huyo mwenye kanga alivuliwa kabisa hiyo kanga na kuwekwa kando, kumbe hakuwa hata na kabati.
Picha ya Muendelezo iko kapuni kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu.

acheni hizo bana, kugombana hadi kumvunjia heshima mgomvi wako sio busara. kama ni mapepo basi Yapigweeeee.
 
Wanatafutiana kinachowatilia jeuri, ili Kama amevaa chupi chafu au iliyotoboka au hata tunguli mpinzani wake apate ushindi kwa kumfanya mwenzake awe lofa mjini/mtaani
 
JIULIZE KWANZA KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAPENDA KUVAA NUSU UCHI NADHANI UTAPATA JIBU LAKO
labda kwa sababu ni kinyume na sheria kutembea uchi nchini. hahaha

hicho kibali kwa sasa wanacho wehu certified tu.
 
Wanatafutiana kinachowatilia jeuri, ili Kama amevaa chupi chafu au iliyotoboka au hata tunguli mpinzani wake apate ushindi kwa kumfanya mwenzake awe lofa mjini/mtaani
hahaha
ukikuta tunguri mkuu si mudi ya ngumi inakata kabisa. unaweza kudhani unagombana na fundi kwa kijadi.
 
Hata mwanamke akichukia ili kuonyesha hasira wengine uwa wanavua kabisa na kuonyesha 'k'

Kumbe mkuu ulimwona huyu jirani yetu juzi J3?? Yaani, kisa kapigwa kofi na mume akaingia chumbani akavua vyote akatoka kwenda kwa mchepuko wa mumewe uliyemfanya mume amtwange makofi. Mbona ilikuwa sinema live kijiji chote??
Yaani tumemsikitikia huyu mmama wa watu. Alikuwa na hishima kweli lakini sasa tumejua kumbe na mtunza msitu ka ule wa kongo. Haujawahi katwa hata siku moja.
 
1. Sipendi tabia ya ugomvi / kupigana hasa hadharani.

2. Wanawake hawajui kupigana na muda mwingi wanakuwa wanavutana nywele au kusukumana au mmoja kumkalia / kumlalia mwenzake. Hii hupelekea kuvutana nguo ambazo kama ni gauni au sketi au khanga basi rahisi kutoka/ kuvuka hatimaye mtu kubaki mtupu/ wazi. Badala ya kurusha ngumi au teke kama wanaume wanavopigana wanawake wao mikono yao na miguu haina asili hiyo au balance hivo huishia kuvutana na kufinyana au kung'atana.

3. Asili ya mavazi ya kike ni gauni sketi na chupi ni laini, rahisi kukatika kwenye purukushani kumbuka hata hereni mkufu pete ndala hukatika pia kama sehemu ya ugomvi sio nguo tuu. Na wenye mawigi au nywele za kushonea hapa wanaipata maana wanawake wanapigana kwa kuviziana amshike wapi ili amuweze mpunzani wake.

4. Wako wanawake wagomvi ambao hujiandaa na ugomvi, mfano huyo mwenye kaptura ya jeans hapo hadi uje kuivua labda uwe ushampiga na amezirai. Viatu alivobvaa pia (raba) si rahisi kutoka.

5. Wengi hutumia hiyo kama silaha sababu hawajui kupigana, kawaida binadamu tumeumbwa na aibu hivo akifanikiwa kumtoa nguo ya juu au ya chini basi yule aliyevuliwa nguo atakosa nguvu na kuhangaika namna ya kujisetiri hatimaye atadundwa.

Halafu gomvi za wanawake huwa watazamaji hawaziamulii sababu wanataka kuona nyuchi au chupi na sindiria, ila gomvi za kiume zinaamuliwaga haraka.

Hawa utasema wamepagawa na mapepo ya kupigana.... halafu ukiuliza chanzo cha ugomvi ndo utachoka..... kanichukulia bwaba wangu, kwenye pati alinisonya, amenitangazia mie malaya na blaah blaah blaah kibao.

Hapo ni kuvutana nywele, kuangushana chini na kuburuzana.

Nachukua sana kupigana, sana sana...... bora niitwe muoga kuliko mjuaji au mbabe wa kuoneshana mabavu. Sababu mwili wangu hauna spea, jicho langu likitoka au nikipata kovu au jeraha ambalo halitatoka milele.... ntajichukia. Nipate hayo kwa ajali ingine ila sio kupigana.

Kasinde Mtata kwenye Mahaba tuu.
 
Kumbe mkuu ulimwona huyu jirani yetu juzi J3?? Yaani, kisa kapigwa kofi na mume akaingia chumbani akavua vyote akatoka kwenda kwa mchepuko wa mumewe uliyemfanya mume amtwange makofi. Mbona ilikuwa sinema live kijiji chote??
Yaani tumemsikitikia huyu mmama wa watu. Alikuwa na hishima kweli lakini sasa tumejua kumbe na mtunza msitu ka ule wa kongo. Haujawahi katwa hata siku moja.

Wee nae... muache mama wa watu looh, msitu ni hazina ya Taifa, pia ina kazi nyingi.... kuranda mbao, makaratazi, kuita mvua, utunzaji wa mazingira na kuwa asilia. Hata mtu asiponyoa miaka 3 haziwezi kufika magotini... hehehehehehehe hatari kabisa.

Hamkupiga picha au video? mliwaacha na watoto nao washuhudie mkanda mzima bila king'amuzi?
 
K zipo za aina tofaut tofaut hvy wanataka kuringishiana
 
Kwa kuwa member walionitangulia kucomment hakuna aliyeonesha interest ya picha uliyoiweka kapuni, basi mkuu mleta mada me naomba unipm tu iyo picha. Natanguliza shukrani.
 
Kumbe mkuu ulimwona huyu jirani yetu juzi J3?? Yaani, kisa kapigwa kofi na mume akaingia chumbani akavua vyote akatoka kwenda kwa mchepuko wa mumewe uliyemfanya mume amtwange makofi. Mbona ilikuwa sinema live kijiji chote??
Yaani tumemsikitikia huyu mmama wa watu. Alikuwa na hishima kweli lakini sasa tumejua kumbe na mtunza msitu ka ule wa kongo. Haujawahi katwa hata siku moja.
Duh! Angefyeka msitu kwanza ndo akatoka nje uchi[emoji23]
 
Back
Top Bottom