hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
yani hapo kwenye topic ndo umemfikisha.
topic tuuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani hapo kwenye topic ndo umemfikisha.
Utakuwa mtazamo huu
Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu???
Mnakera kwa kweli
wengine kama katapila kwenye uchimbaji wa barabara ila ndio hivyo tena wenzetuMimi nachomshauri ni akazane kula vyakula vya asili na mazoezi tutaenda sawa pia asivae boxer mbichi na zinazobana sana.Kitu kingine akiona mzigo unamuelemea uwanjani ajipe red card atafute size.Siyo kulalama.wanaume mjishughulishe haya matatizo yatakwisha
ndio njino kwa njino ee? au dawa ya moto ni moto?kunakitu kitabaki kweli?wengi ni kwa hasira na kulipiza visasi kwa waume zao..unakuta mume ni mwenye mahusiano mengine nje ya ndoa yake,mwanamke anavumiliaa wee mwisho wa siku anachoka..na kutengana hataki labda anahurumia watoto wake...na hapo labda njia nyingine zote za kumtuliza mume zimeshindikana..basi wanaamua na wao kuzurura nje ya ndoa sasa..inakua ngoma droo tu
na ukadhani kila mtu anataka ukweli??Hakika siogopi kupigwa mawe kwa ukweli.. A true friend is one who doesn't make you happy with a lie but one who hurts you with the truth.nawasubirie
mkuu huyo mwanaume ni wewe au? maana umejuaje yote hayo?
Sasa kulipiza siyo solutions unadhani anayeabika ni nani kati ya aliyetenda kwa kuhisiwa na huyu atakaye amua kuvua nguo zake kwa ajili ya kulipiza na kujiabisha..
Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano.
Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani..Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia bado akiingia kwenye ndoa anaendelea kufanya uzinzi tu..Jaribu kusoma thread nyingi ndani ya MMU utaona nyingi zinaongelea kusalitiana, kufumaniana,kugongewa yaani shida tupu.
Je ni vyakula hivi ambavyo vimebadilisha mihemko ya miili yetu mpaka tunakuwa na hamu ya uzinzi hadi usoni kwetu...Tuwe wakweli humu ndani wadada wengi wanamatatizo kwenye mahusiano yapo ndio maana baadhi yao michango yao huwa ukiifikiria utadhani siyo mwanamke ..
Ebu wakati tunaelekea mwisho wa mwaka tujaribu kujiuliza nini tumemkosea mungu mpaka tunakuwa na hulka ya uzinzi kiasi hicho.
Leo tu kuna mdau amesafiri kibiashara mke wake wa ndoa ameingiza mwanaume kwenye kitanda chake kwa ajili ya kuzini hivi hamuoni aibu???
Mnakera kwa kweli
kwasababu ya Tamaa ya hela
elezea na upande mwingine wa shilingi,vipi wanaume kwa uzinzi?
Kama anayeaibika ni mwanamke wewe kama mwanaume inakuhusu nini? Piga kimya kwanza kuchapiwa ni siri ya ndani!
Isitoshe pengine shuuuli imekushinda!