Kwanini wanawake wengi wanapendelea kunywa soda ya pepsi

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,149
Niaje wana harakati wa Jf.

Ujue ni miezi kadhaa nimejaribu kuchunguza katika mighahawa, madukani, hotelini, majumbani, n.k

Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kunywa soda aina ya Pepsi nashindwa kuelewa ni kwanini japo sio wote lakini kwa asilimia kadhaa hawa Dada zetu wanapenda kinywaji hiki.

Kuna siri gani kuhusiana na kinywaji hiki.
 
Pepsi ya zamani,,,hahaa. Ya baridiiiiiii na vibarafu kwa mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…