Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Wanawake wenyewe tunamshangaa..

ana vinadharia flani hivi
Ngja tumuache akikua atayaona
Kumbe wanawake mnamshangaa? Nikajua ni wanawake wenye pesa, kumbe nyie njaa kali? Sasa mkimshangaa nyie na wanawake wenye pesa wakampa big up, atapungukiwa nini?

Wanawake wenye njaa kama nyie mkimshangaa mnamtilia nuksi tu! Acha wamshangae wenye 'mijihela' yao.
 
Wanaume wengi Ni dhaifu na wana inferiority complex, wanapenda wanawake wanyonge wawatese Ili waonekane wao ni vidume wa shoka, wanaamini hivo, sasa mwanamke anayejitegemea mwenye shule wanaume wakitanzania Wana mwogopa ka kituo Cha police na kumwita jeuri
Hatutaki maneno yenu sio nyie, mbona mnakua michepuko yetu Sasa,[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wanaume wengi Ni dhaifu na wana inferiority complex, wanapenda wanawake wanyonge wawatese Ili waonekane wao ni vidume wa shoka, wanaamini hivo, sasa mwanamke anayejitegemea mwenye shule wanaume wakitanzania Wana mwogopa ka kituo Cha police na kumwita jeuri
Huwezi kupingana na nature,daima mwanaume ni mtawala na mwanamke ni mtawaliwa
 
Ba
Basi usiwe msemaji wao mkuu kama kwel kiuchumi uko vzur na umewaajir watu,sidhan kama mkeo kakuzid kipato kwa hyo ni rahc kumu handle..hakuna udhaifu wowte kwa mwanaume juu ya hili..ukwel ni kwamba hata wanawake wanajijua kuwa wakiwa na level flan ya uchumi kwao ni either akutane na mwanaume ambaye atamwendesha au asiolewe kabxaa.....kama umejaliwa kipato cha juu kumzid mkeo shukuru tu Mungu ila usiseme kuwa wanaume ni dhaifu au wana uogaa juu ya wanawake wenye kipato kukuzd!!hilo sikubalian na ww
Huyo unae jibizana nae hajaoa mkuu rejea moja ya comment zake hamtakaa mwelewane kaika hilo.
 
Kwahiyo u nurse tu unajiona umefanikiwa na unakgopwa na wanaume?
Ungekuwa MD si ingekua hatari
UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
 
Mwanamke akikudhidi kipato mwanaume utageuka kuwa mpishi wa nyumbani,kulea watoto na kufanya usafi.Mwanamke akikudhidi kipato Basi wewe mzidi elimu.Akikudhidi elimu Basi wewe mzidi kipato.Akikudhidi vyote Basi wewe mzidi maarifa,Tunachokwepa ni kuepuka manyanyaso dhidi ya wanaume maana mwanaume utakuwa huna sauti ndani ya familia utaogopa hata kukuhoa.Sio wanaume wote waliozidiwa kipato wanafanyiwa hivyo Kuna wanawake wanavipato na vyeo vikubwa wamewazidi waume zao lakini heshima na nidhamu kwa mume iko palepale.
#Upendo sio kipato,Upendo haujivuni,Upendo sio kukomoana Bali Upendo ni kutoka moyoni na ni halisi chako chake,chake chako.Upendo ni kuombeana,kuchukuliana,kusameheana na kuvumiliana kwenye shida na raha yaani kulia pamoja na kucheka pamoja.
#Jambo usilopenda kutendewa tafadhali usimtendee mwenzio.[emoji848]
 
Achana na mawazo ya kusaidiwa maisha.

Wewe kama umemuona mwanamke mzuri ana maisha yake zaidi yako ..nenda mtongoze.

Hawa wanawake hamjui tu. Kwakua watu wengi wanaogopa kuwatongoza, mara nyingi sana wanaishiwa kuliwa na Madereva wao, au watu wao wa kazin au walosoma pamoja.

Na kama haya yote hayapo, naye anakua nakiu ya kua na mtu sana, ukijitutumua tu ukamtongoza, Huyo hapo kajaa.

KWA UFUPI, AKILI YA MWANAMKE ITABAKI KUA YA MWANAMKE, AWE NI WAZIRI, MBUNGE, RAS, DED, RAIS, MJESHI, CEO, POLIS, MFANYABIASHARA N.K.

Wee kama umemwelewa tu vzuri, na unamhitaji, tafuta wapi pakumpatia, kisha endeleza safari.
Usifananishe kufanya mapenzi na kuishi ndoa, anapofanya mapenzi na dereva hizo ni hisia za mwili, Ila huyo akithubutu kumuoa ndoa inavunjika wiki tu
 
Wanalishana matongo pori tuuu ..

Sio tu familia bora, kuna wadada wamesoma, wamepambana wamekua na uchumi wao... Kwamba tusiwaoe??? Kisa wametuzidi kipato??

Woga ,nakutojiamin nakuhisi kudharauliwa.

Mwanamke, awe wa familia duni, au familia bora, mwenye elimu asokua nayo, mwenye uchumi ,asokua nao...

Usipojua kumtreat, atabaki kua mchungu tu na mwiba ..na utakufa kabla ya siku zako.
Kwani umeoa bro?
 
Yaa lazima ujue kumtreat, na kumtreat kwake ni kumnyenyekea
 
Hatuwaogopi tatizo wana nyodo sana na dharau sana waache wabaki na utelezi wao
 
So kwetu sisi wanaume tunafanyaje Sasa Ili mwanamke Huyu tumuweke chini yetu?
Ni kuwa-dictate tu hamna jipya, Babu mzaa Mama alioa wanawake watano, wakeze wawili kutoka familia moja (Bibi yangu na mdogowe), Bibi zangu hao watano walikuwa wanalima, wanapalilia, wanavuna, wanampa mazao anauza, hela anatumia yeye labda awagawie kwa kupenda, bibi zangu hao mpaka mifugo na kukamua maziwa ilikuwa ni jukumu lao, silaha yake alikuwa ni mkali sana, kuwazibua makofi alikuwa hakawii, na aliwapangia zamu ya kupika pombe, kila mke alipewa wiki ya kupika debe mbili za pombe ya kunywa na rafiki zake (babu)...mwendo ulikuwa ni uleule mpaka kwa watoto wake wa kike (mama zetu) wamechunga ng'ombe....siri ni ileile ukitaka kumdominate mwanamke usicheke nae ...leo hii demu/mke mmoja anakupasua kichwa sababu dominance haipo sababu ya haki sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umacheka naye au sio?
 
😃😃😃
 
Back
Top Bottom