Achana na mawazo ya kusaidiwa maisha.
Wewe kama umemuona mwanamke mzuri ana maisha yake zaidi yako ..nenda mtongoze.
Hawa wanawake hamjui tu. Kwakua watu wengi wanaogopa kuwatongoza, mara nyingi sana wanaishiwa kuliwa na Madereva wao, au watu wao wa kazin au walosoma pamoja.
Na kama haya yote hayapo, naye anakua nakiu ya kua na mtu sana, ukijitutumua tu ukamtongoza, Huyo hapo kajaa.
KWA UFUPI, AKILI YA MWANAMKE ITABAKI KUA YA MWANAMKE, AWE NI WAZIRI, MBUNGE, RAS, DED, RAIS, MJESHI, CEO, POLIS, MFANYABIASHARA N.K.
Wee kama umemwelewa tu vzuri, na unamhitaji, tafuta wapi pakumpatia, kisha endeleza safari.