Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Sio kweli kabisa.
Je unadhani ni kwanini mwanaume naweza kuishi kwa zaidi ya miaka mitano na mkewe asie na kazi wala kibarua ilie muoa na nguo alizo vaa tu?
Na nikwanini mwanamke mwenye kazi yènye mshahara hawezi kumalizi hata miezi sita ya ndoa na mwanaume asiye na kazi wala kibarua?
Wapo wengi tu mbona wanaume wanalelewa na wamedumu wanaoteswa ni wale waliokuwa na hela huku wajidai viboro dinda
 
wanaume kuwa na mwanamke mwenye fedha wala si changamoto hata kidogo. Kwasababu kuna wanawake wanapesa na wanapenda sana kuwa chini ya mume na ni wanyenyekevu tu.

Swala ni jinsi gani tu mwanaume anaweza handle kuwa na mwanamke ambaye yupo katika position nzuri ya kuwa na kipato.

Kama ukiwezana na mwanamke wa hivi ni rahisi sana katika kufanya maisha kwasababu unakuwa na partner ambaye na yeye anajiweza.

Unataka kufungua biashara , wife anakutoa kiasi fulani na wewe unaweka mzigo biashara inakwenda. Unataka kununua gari umepwelea kidogo unamshtua wife anakujazia .

Wanaume tunatoa sana pesa its time na wanawake nao washiriki.

Ila tu mambo huenda poa kama binti nae kwao awe njema hakuna njaa na ana wazazi wenye busara. Ila ikiwa mwanamke mwenyewe kwao hali ya kawaida au ngumu na wazazi ni viwavi jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndoa lazima iwe vita kali ya ya madharau.
 
Bado sanaa hujawajua hawa watu mkuu,na bad enough nahc ww bdo n bachelor na ndo maana uko free sanaa kujiandikia kile ambacho ndo uelewa wako kuhusu wanawake..ila kama ndo course ya kuwajua wanawake ndo kwanz upo kweny orientation!we elewa tu mke wako kukuzid kiuchum hautofurukuta
..na kama ndo upo kwenye uchumba na mpnz wa aina hyo na kuona kwamba anakuweka mjin bac usitarajie hivyo kweny ndoa...yaan kama ni hela yake itumue vilivyo kwa sasa hivii,na hyo ni ridhaa yake tu si kwamba umeweza ku mcontrol..muoe alafu uje utuandikie kama unavyoandika ss iv
Aahhh unaona ulivyo dhaifu...Kua na mwanamke mwenye kipato, ni kuwekwa mjini??

Sasa mimi mwenyewe kiuchumi , kielimu najiweza 100%, naanzaje sasa kuwekwa mjini?. Kwaufupi SINA NJAA, nmetengeneza ajira kwa vijana wapatao Saba.

Hapa suala ,ni Kufuata kile moyo wako unapenda..mimi siwez kuutesa moyo wangu kisa Niogope atanidharau?? Au nn??

Bahati nzuri ukijua kumuishi mwanamke, HAWEZI KUKUFANYIA HAYO MAUJINGA UNAYOHOFIA.

Kinachowasumbua wanaume kama wewe, ni HOFU YA KITU KISICHOKUWEPO .

Hofu inayowapa udhaifu ambao ,ili uonekane una nguvu, umeishia kuoa mwanamke anayekutegemea kila kitu.

Mimi sio wa aina hiyo., mimi ni mchaguzi, bado sijauza nafasi yangu ya uchaguzi ktk Hayo.

Nadhan hata kama angekua ni mwanamke asokua na kitu, bado ningekua naye ili mradi tu ,ndie aliyeugusa moyo wangu vilivyo.

Narudiaaa, Nyie mnaosema wanawake wanaowategemea, ivi sindo mandoa kila siku ,na sijuo kuua, sijuo vipigo, si nyinyi au ???

MAISHA YA NDOA, HAYATEGEMEI WEE NDO KILA KITU, SIJUI UNATEGEMEW.

sanasana mwanamke atakuogopa tu lkn NO HESHIMA.
 
Et wanawake..sema wewe ..nasio mwanamke ..sema mschana.

Siku hizi wanawake wenye akili wanapamba kua huru kiuchumi, na bado anaendelea kua Mwanamke bora .

Maujinga yenu ya Kutegemea kila kitu kwa wanaume, yamewafanya mpaka mnapigwa weee, mnafumania michepuko na mambo ya kijinga anayofanya mumeo..lkn kwakua Kuanzia kuvaa mpaka kula na kuishi unamtegemea Mumeo... Unamwomba msamaha mumeo kwa ujinga wake ...

SASA NAKUAMBIA, UKITAKA MWANAUME AKUHESHIM NA AKUONE SEHEM YA MAISHA YAKE, HAKIKISHA UNA KITU CHAKO MWENYEWE KAMA NI KAZI KUA NAYO.

Kama hauna hayo yotez hakikisha Upate mwanaume mwenye akili na akupende.
Heheh leo utalala umechoka sana
Hii nchi jmn dah🤣
 
MUNGU ALITUPA NAFASI KUBWA SANA SISI WANAUME

MSIIPOTEZE WALA KUIDHARAU.

WIVU NA MATAMANIO YA MWANAMKE, YALIWEKWA KWA MWANAUME.

haimanishi ana hela, au hana,... Wewe jua kua ndio MUONGOZAJI WA MAISHA YAKE.
 
Heheh leo utalala umechoka sana
Hii nchi jmn dah[emoji1787]
Wewe tu[emoji23][emoji23][emoji23] ndo utachoka, mwenzio nahivi kesho ni siku ya sabato, sina shida

Kwan ndo umejiunga JF??

Mie huwa naandika magazeti yenye point tu, na situmii nguvu wala akili kubwa..maana akili ninayo, sasa yanashuka tuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aahhh unaona ulivyo dhaifu...Kua na mwanamke mwenye kipato, ni kuwekwa mjini??

Sasa mimi mwenyewe kiuchumi , kielimu najiweza 100%, naanzaje sasa kuwekwa mjini?. Kwaufupi SINA NJAA, nmetengeneza ajira kwa vijana wapatao Saba.

Hapa suala ,ni Kufuata kile moyo wako unapenda..mimi siwez kuutesa moyo wangu kisa Niogope atanidharau?? Au nn??

Bahati nzuri ukijua kumuishi mwanamke, HAWEZI KUKUFANYIA HAYO MAUJINGA UNAYOHOFIA.

Kinachowasumbua wanaume kama wewe, ni HOFU YA KITU KISICHOKUWEPO .

Hofu inayowapa udhaifu ambao ,ili uonekane una nguvu, umeishia kuoa mwanamke anayekutegemea kila kitu.

Mimi sio wa aina hiyo., mimi ni mchaguzi, bado sijauza nafasi yangu ya uchaguzi ktk Hayo.

Nadhan hata kama angekua ni mwanamke asokua na kitu, bado ningekua naye ili mradi tu ,ndie aliyeugusa moyo wangu vilivyo.

Narudiaaa, Nyie mnaosema wanawake wanaowategemea, ivi sindo mandoa kila siku ,na sijuo kuua, sijuo vipigo, si nyinyi au ???

MAISHA YA NDOA, HAYATEGEMEI WEE NDO KILA KITU, SIJUI UNATEGEMEW.

sanasana mwanamke atakuogopa tu lkn NO HESHIMA.
Ba

Basi usiwe msemaji wao mkuu kama kwel kiuchumi uko vzur na umewaajir watu,sidhan kama mkeo kakuzid kipato kwa hyo ni rahc kumu handle..hakuna udhaifu wowte kwa mwanaume juu ya hili..ukwel ni kwamba hata wanawake wanajijua kuwa wakiwa na level flan ya uchumi kwao ni either akutane na mwanaume ambaye atamwendesha au asiolewe kabxaa.....kama umejaliwa kipato cha juu kumzid mkeo shukuru tu Mungu ila usiseme kuwa wanaume ni dhaifu au wana uogaa juu ya wanawake wenye kipato kukuzd!!hilo sikubalian na ww
 
Et wanawake..sema wewe ..nasio mwanamke ..sema mschana.

Siku hizi wanawake wenye akili wanapamba kua huru kiuchumi, na bado anaendelea kua Mwanamke bora .

Maujinga yenu ya Kutegemea kila kitu kwa wanaume, yamewafanya mpaka mnapigwa weee, mnafumania michepuko na mambo ya kijinga anayofanya mumeo..lkn kwakua Kuanzia kuvaa mpaka kula na kuishi unamtegemea Mumeo... Unamwomba msamaha mumeo kwa ujinga wake ...

SASA NAKUAMBIA, UKITAKA MWANAUME AKUHESHIM NA AKUONE SEHEM YA MAISHA YAKE, HAKIKISHA UNA KITU CHAKO MWENYEWE KAMA NI KAZI KUA NAYO.

Kama hauna hayo yotez hakikisha Upate mwanaume mwenye akili na akupende.
Huo ndo ukwel.wenyew..sasa ww jikute ndo umekuwa msemaji wao ila wao tayar wanajijua ndo maana hatumii hata nguvu kubwa kukushawish ili umwelewe ila ndo wanawake walivyo
 
Ba
Basi usiwe msemaji wao mkuu kama kwel kiuchumi uko vzur na umewaajir watu,sidhan kama mkeo kakuzid kipato kwa hyo ni rahc kumu handle..hakuna udhaifu wowte kwa mwanaume juu ya hili..ukwel ni kwamba hata wanawake wanajijua kuwa wakiwa na level flan ya uchumi kwao ni either akutane na mwanaume ambaye atamwendesha au asiolewe kabxaa.....kama umejaliwa kipato cha juu kumzid mkeo shukuru tu Mungu ila usiseme kuwa wanaume ni dhaifu au wana uogaa juu ya wanawake wenye kipato kukuzd!!hilo sikubalian na ww
Mkuu wangu mwanamke yuko hivi

Kwanza ...Mtawale hisia zake yaan akuelewe na umpende .

Pili, Kama bado hajawa huru kiuchumi. Basi atakuheshim zaidi sababu unampa kila kitu ,( kimbuka mwanzo, umeshamteka hisia zake)..... Siku ukizivuruga ukampitisha shimo la mateso ya kihisia, hata kama unampa kila kitu, ATAKUCHUKULIA POAA, NA HAPO NDO MWANZO WA KUVUNJIKA NDOA.

Tatu, kama yupo huru kiuchumi, na (ukumbuke umezitawala hisia zake).
basi hapa hata km umemzidi kipato zaidi, ataendelea kukuheshim. Hata kma umepungua ataendelea kukuheshimu...

Ila siku ukitokea umezitesa hisia zake, Moto wake utakua zaidi ya yule asokua nacho, kwa sababu huyu Hawezi vumilia maujinga.

Wanaume wengi tunapenda ufalme, yaan tuumize hisia za wanawake wetu lkn bado watunyenyekee.... Linapotokea hili jua yapo mambo haya

Kama ni mtegemezi, atalipiza tu hata ufanyeje atalipiza lkn kwa gharama za kukusamehee na kuendelea kukaa nawee

Kama Yupo huru, ATASEPA TU... wanawake huru, elimu, huwa hawafugi manyani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Ni kweli

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mm bdo nitaendelea kukukatalia tu!iko iv..mwanamke akiweza kuwa na kipato cha juu anakuwa na optios pamoja na maamuzi mengi ambayo hata mengine anaweza asikushirikishe maana anaona hautakuwa na msaada wwte..eidha ki.awazo au kifedhaa,anaweza tu kujinunulia shamba na kuamua kujenga bila wewe kujua...lengo ni kujiwekea security ili hata ukimfukuza anajua ataamia kwakee...kwa namna yyte ile mwanamke huwez kumteka kihisia huyo mwanamke while financially yuko stable..we inatakiwa uelewe tu fanya yote ila mke wako asikuzid kipato
 
Huo ndo ukwel.wenyew..sasa ww jikute ndo umekuwa msemaji wao ila wao tayar wanajijua ndo maana hatumii hata nguvu kubwa kukushawish ili umwelewe ila ndo wanawake walivyo
Hahahaha huyo hata hasumbui, ni mschana mdogo. ... Hajui !!.

Ngoja nikupe mfano mdogo.... Tumchukulie "Jokate" mwanamke aliyefanikiwa kisiasa, na kiuchumi yuko vzuri
...

Na tukuchulie wewe, Una hold MBA, Nyumba safi, usafiri, uko vzuri kiuchumi kwa maisha yakibongo.

Unaweza kufunua kinywa kuzielezea hisia zako kwake kwamba unahitaji awe mkeo???.

Au ndo utaomba upambane kwanza uwe kama Fred Vunjabei?? Ndio urudi kwa Jokate?.

Sasa ipo hivi, ukiweza mwambia na akakubali, Tambua yakwamba, ule uthubutu wako ,ndio ulomfanya akuone wee ni mwanaume kiasi kwamba, unao uwezo wa kumuongoza maishani mwake. .... Hii ndio Point yangu.

"Waliumbwa kupata Ridhiko katika Familia "

Hiyo ikufundishe kua, Mwanamke unaweza mpa kila kitu, lkn km hapati ridhiko la kifamilia ,hisia zake unazivuruga kila siku, ATASEPA TU, na akikaaa basi tambua hana pakwenda na hana njia nyingine ila siku akipata nafasi ya kufanya anachotaka, atakifanya.

Na utalia huku kamasi zikikutoka... Nilimlisha, nilimvalishaaa, nilimpa kila kitu, lkn kanifanyia hiki....

Ndio utajua Hujui
 
UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”

Karibu sana mjumbe mpya:

IMG_20210910_235930_520.jpg

Habari ya mjini kuna wasiojulikana nyuma ya usukani wa mama:

IMG_20210911_000004_180.jpg
 
Sio kweli kabisa.
Je unadhani ni kwanini mwanaume naweza kuishi kwa zaidi ya miaka mitano na mkewe asie na kazi wala kibarua ilie muoa na nguo alizo vaa tu?
Na nikwanini mwanamke mwenye kazi yènye mshahara hawezi kumalizi hata miezi sita ya ndoa na mwanaume asiye na kazi wala kibarua?
Kwq sababu mwanamke hawezi kuishi na mwanaume asiyejiamini,l...

Unapoogopa mwanamke kakuzidi kipato/elimu ndivyo unavyopoteza kujiamini, unaona kwamba elimu yake ndo anajua kila kitu, wakati Kuna elimu ya mtaani(sio formal) ambayo we uko nayo na ikaenda sawa na yakwake mkafanya kitu kikubwa na heshima yako ikabaki pale pale
 
Mm bdo nitaendelea kukukatalia tu!iko iv..mwanamke akiweza kuwa na kipato cha juu anakuwa na optios pamoja na maamuzi mengi ambayo hata mengine anaweza asikushirikishe maana anaona hautakuwa na msaada wwte..eidha ki.awazo au kifedhaa,anaweza tu kujinunulia shamba na kuamua kujenga bila wewe kujua...lengo ni kujiwekea security ili hata ukimfukuza anajua ataamia kwakee...kwa namna yyte ile mwanamke huwez kumteka kihisia huyo mwanamke while financially yuko stable..we inatakiwa uelewe tu fanya yote ila mke wako asikuzid kipato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utataabika sana ukiwa mwenye mawazo haya.

Yaan km hauna uanume, hata km ulomuoa umemzidi kipato, hatokushirikisha, nayote uloyasema hatofanyaa ivoivo

Nachokioma kwako unataka hii..Mke nataka tufanye..hivi...mke ajibu Ndiooo

Mke nimelipia shamba..aseme hongera baba

Mke nme.....Ndioooo

Mke ivi....ndioo

Sasa hiyo ni ndoa au magumashi?...

NARUDIA KUKUAMBIA, UKIJUA KUMUISHI MWANAMKE, ATAKUSHIRIKISHA KILA KITU YAAN MPAKA UMBEYA WA MTAANI ATAKUSHIRIKISHA...HAWEZ KUKUFANYIA MATENDO YA AJABU ET KISA KAKUZIDI.

acha kutafuta Kua Baba ambaye hujulikana ni Mkoloni.
 
M
Hahahaha huyo hata hasumbui, ni mschana mdogo. ... Hajui !!.

Ngoja nikupe mfano mdogo.... Tumchukulie "Jokate" mwanamke aliyefanikiwa kisiasa, na kiuchumi yuko vzuri
...

Na tukuchulie wewe, Una hold MBA, Nyumba safi, usafiri, uko vzuri kiuchumi kwa maisha yakibongo.

Unaweza kufunua kinywa kuzielezea hisia zako kwake kwamba unahitaji awe mkeo???.

Au ndo utaomba upambane kwanza uwe kama Fred Vunjabei?? Ndio urudi kwa Jokate?.

Sasa ipo hivi, ukiweza mwambia na akakubali, Tambua yakwamba, ule uthubutu wako ,ndio ulomfanya akuone wee ni mwanaume kiasi kwamba, unao uwezo wa kumuongoza maishani mwake. .... Hii ndio Point yangu.

"Waliumbwa kupata Ridhiko katika Familia "

Hiyo ikufundishe kua, Mwanamke unaweza mpa kila kitu, lkn km hapati ridhiko la kifamilia ,hisia zake unazivuruga kila siku, ATASEPA TU, na akikaaa basi tambua hana pakwenda na hana njia nyingine ila siku akipata nafasi ya kufanya anachotaka, atakifanya.

Na utalia huku kamasi zikikutoka... Nilimlisha, nilimvalishaaa, nilimpa kila kitu, lkn kanifanyia hiki....

Ndio utajua Hujui
Cjui kama naeleweka vzur,iko iv,mwanamke akishakuwa na kipato cha juu sanaa huwa kuolewa kwake ni ni kudra za Mwenyez Munguu..sasa chukulia ndo mwamke mwenye pesa afu anakimbizana na umri ..anakuwa na shauku sanaa ya kutaka kuolewa,kwa maana hyo hatoweza kumkataa mwanaume yyte atakaejitokezaa...kimbebe ni mwenda kuishi nae kweny hyo taasisi wanayoita ndoa
 
wanaume kuwa na mwanamke mwenye fedha wala si changamoto hata kidogo. Kwasababu kuna wanawake wanapesa na wanapenda sana kuwa chini ya mume na ni wanyenyekevu tu.

Swala ni jinsi gani tu mwanaume anaweza handle kuwa na mwanamke ambaye yupo katika position nzuri ya kuwa na kipato.

Kama ukiwezana na mwanamke wa hivi ni rahisi sana katika kufanya maisha kwasababu unakuwa na partner ambaye na yeye anajiweza.

Unataka kufungua biashara , wife anakutoa kiasi fulani na wewe unaweka mzigo biashara inakwenda. Unataka kununua gari umepwelea kidogo unamshtua wife anakujazia .

Wanaume tunatoa sana pesa its time na wanawake nao washiriki.

Ila tu mambo huenda poa kama binti nae kwao awe njema hakuna njaa na ana wazazi wenye busara. Ila ikiwa mwanamke mwenyewe kwao hali ya kawaida au ngumu na wazazi ni viwavi jeshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndoa lazima iwe vita kali ya ya madharau.
Huwa nashangaa sana inakuwaje mwanaume unataka mwanamke akusaidie majukumu yako ilihali ya kwake hautaki kumsaidia
 
Dunia imetawaliwa na mifumo dume kila kona, kwa hiyo kwa mwanamke kuwa na uwezo mkubwa kuliko mwanaume ni kinyume na mfumo dume kiasi hata mwanamke mwenyewe huweuka na kujikuta anatumia nguvu na ubabe mkubwa katika kulazimisha kuuaminisha umma kwamba yeye ana uwezo
 
Sikiliza Man, sio dhambi kuoa Mwanamke anayekuzidi kipato.SIO DHAMBI.

Ni Dhambi kubwa kumwogopa mwanamke mwenye kipato kuliko chako nakumtoa katika kundi la mtu anayefaa kuolewa nawewe.

UKIJIAMINI KAMA MWANAUME, UKAKIAMINI KIPATO CHAKO, UKASIMAMA KAMA MWANAUME ,UKAMPENDA MKEO HUYO, ATAKUHESHIIMU SANA.

NDOA HAITAKI KIPATO CHA MWANAUME, NDOA HAITAKI ELIMU ZENU, NDOA HAITAKI MANINI YENU !!!

Kuna kitu kikubwa sana kipo nyuma ya hayo yote, na ukiwa nacho , haijalishi kakuzidi uchumi vipi, ATAKUHESHIMU.

Kwan wangapi mmeoa wamama wa nyumban au wanaowazidi kipato??? Lkn ndan ya nyimba hamuheshimiwi, mnadharauliwaaa vibayaa mpaka siri zenu ,zinajulikana nje?? Wangapi wenu mmeoa wanawake wadhaifu aa elimu,uchumi, uhuru, lkn bado wanawapelekesha kinoma????.

Wewe !!! acha hizo..hamna cha sez toy wala mume... WEWE KAMA NI MWAMAUME, USIPOUJUA UANAUME WAKO NANGUVU YAKE, HATA UPEWE MKE AMBAYA KAKOSWA ELIMU KAKOSWA UCHUMI YAAN ANAKUTEGEMEA, ATAKUSHINDA TUU.

NASEMA, ATAKUSHINDA.
You[emoji375][emoji375]
 
Back
Top Bottom