Kilenzi _Jr
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 301
- 1,110
- Thread starter
- #21
Sure kabisaaMwanamke mwenye mafanikio binafsi sio wa kawaida. mwanamke akiwa bright anakuwa strong very powerful na kama portalist dunia nayo humlinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure kabisaaMwanamke mwenye mafanikio binafsi sio wa kawaida. mwanamke akiwa bright anakuwa strong very powerful na kama portalist dunia nayo humlinda
Kweli single mothers 😃Kiasili anaeolewa ni mwanamke, hivyo Mwanaume ndiye anayestahiki kuwa juu ya mke wake.
Hivyo mwanamke mwenye mafanikio hayuko tayari kuwa chini ya mwanaume anaemzidi elimu au mafanikio. Hapo lazima mahusiano yawe na mgongano.
Ndio maana wanawake wengi wenye mafanikio wanaishi wenyewe tu na watoto wao, ndoa huwa zinawashinda
Ni nature ya mwanamke kuzidiwa na mume! Hata hofu anayowapandikizia wanaume (wasiojiamini) ili wawaogope na inapokolea tayari nao wanawaogopa wanaume wasiofanikiwa...Hawaogopi Bali ndo wanawatamani Ili wenyewe pia wawe nafasi ya kwanza katika maamuzi
KweliNi nature ya mwanamke kuzidiwa na mume! Hata hofu anayowapandikizia wanaume (wasiojiamini) ili wawaogope na inapokolea tayari nao wanawaogopa wanaume wasiofanikiwa...
Achana na mawazo ya kusaidiwa maisha.Na ikitokea unataka Maisha mserereko
Umenimotivate mkuu kesho namfuataAchana na mawazo ya kusaidiwa maisha.
Wewe kama umemuona mwanamke mzuri ana maisha yake zaidi yako ..nenda mtongoze.
Hawa wanawake hamjui tu. Kwakua watu wengi wanaogopa kuwatongoza, mara nyingi sana wanaishiwa kuliwa na Madereva wao, au watu wao wa kazin au walosoma pamoja.
Na kama haya yote hayapo, naye anakua nakiu ya kua na mtu sana, ukijitutumua tu ukamtongoza, Huyo hapo kajaa.
KWA UFUPI, AKILI YA MWANAMKE ITABAKI KUA YA MWANAMKE, AWE NI WAZIRI, MBUNGE, RAS, DED, RAIS, MJESHI, CEO, POLIS, MFANYABIASHARA N.K.
Wee kama umemwelewa tu vzuri, na unamhitaji, tafuta wapi pakumpatia, kisha endeleza safari.
Sio kweli kabisa.Wanaume wengi Ni dhaifu na wana inferiority complex, wanapenda wanawake wanyonge wawatese Ili waonekane wao ni vidume wa shoka, wanaamini hivo, sasa mwanamke anayejitegemea mwenye shule wanaume wakitanzania Wana mwogopa ka kituo Cha police na kumwita jeuri
Unajidanganya, kuna tofauti kati ya sex toy na mume.Achana na mawazo ya kusaidiwa maisha.
Wewe kama umemuona mwanamke mzuri ana maisha yake zaidi yako ..nenda mtongoze.
Hawa wanawake hamjui tu. Kwakua watu wengi wanaogopa kuwatongoza, mara nyingi sana wanaishiwa kuliwa na Madereva wao, au watu wao wa kazin au walosoma pamoja.
Na kama haya yote hayapo, naye anakua nakiu ya kua na mtu sana, ukijitutumua tu ukamtongoza, Huyo hapo kajaa.
KWA UFUPI, AKILI YA MWANAMKE ITABAKI KUA YA MWANAMKE, AWE NI WAZIRI, MBUNGE, RAS, DED, RAIS, MJESHI, CEO, POLIS, MFANYABIASHARA N.K.
Wee kama umemwelewa tu vzuri, na unamhitaji, tafuta wapi pakumpatia, kisha endeleza safari.
Sikiliza Man, sio dhambi kuoa Mwanamke anayekuzidi kipato.SIO DHAMBI.Unajidanganya, kuna tofauti kati ya sex toy na mume.
Be careful usipotoshe watu.
Wanalishana matongo pori tuuu ..Uoga tu. Kuna wanawake wanatokea familia zenye uwezo mkubwa kifedha. Sidhani kama ni malimbukeni
Hii positivity ingekua kwa wengi, dunia ingekua sehemu salama [emoji2]Wanalishana matongo pori tuuu ..
Sio tu familia bora, kuna wadada wamesoma, wamepambana wamekua na uchumi wao... Kwamba tusiwaoe??? Kisa wametuzidi kipato??
Woga ,nakutojiamin nakuhisi kudharauliwa.
Mwanamke, awe wa familia duni, au familia bora, mwenye elimu asokua nayo, mwenye uchumi ,asokua nao...
Usipojua kumtreat, atabaki kua mchungu tu na mwiba ..na utakufa kabla ya siku zako.
Yan mie nikuelewe, eti kisa umenizidi kipato, na nahitaj tuwe kama mke namume, ..nikae kimya tu,nikuogope, niwaze utanidharau??Hii positivity ingekua kwa wengi, dunia ingekua sehemu salama [emoji2]
Katika hali ya kawaida mwanamke hana kasoro ni kwa nini haolewi?Yan mie nikuelewe, eti kisa umenizidi kipato, na nahitaj tuwe kama mke namume, ..nikae kimya tu,nikuogope, niwaze utanidharau??
Tuhubutu.
Broo, Hii Dunia ukiona mahali hapako sawa ujue Kuna wanaume wameshaharibu kitambooooo.Katika hali ya kawaida mwanamke hana kasoro ni kwa nini haolewi?
Tuweke kando baraka za Mungu na bahati.