Oyaa, hata km umeoa mwanamke hana kitu ,mbumbu wa akili na pesa nakila kitu.
KAMA UTASHINDWA KUA MWANAUME, ATAKUSUMBUA SANA TUU TENA SANA TUU
alafu utajuta kwann hujaoa msomi !!...
Utaoa msomi, ila kwakua hauna Uanaume , naye atakushinda kama kawaida.
Siwatetei wanawake wenye uchumi wao, ila ukweli nikua, MWANAMKE ANAKUA VILE UNAVYOTAKA AWE
tena nikuambie kitu kimoja, nirahisi ya mwanamke alokua anakutegemea, kukukimbiaa au kua na mwanaume mwengine,, sababu tu akajitimizie mahitaj yake pale unapopunguwa
Ref... Uzi wangu niliowah andika, VIKOBA na wanawake kuchepuka.
Lkn ni ngumu sana kwa mwanamks mwenye huru wa uchumi, kukukimbia kisa tu wee umezidi kutetereka.
Sansana Atajitahidi kukufanya uonekane mwanaume mbele ya wanaume wenzako na atakufichia aibu yako.
Ila hao wategemezi, kama hana akili, Utakuta kahamia kwa jirani yako anapelekewa moto.