KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Hio ni tabia ya pesa bila kujali jinsia
Wapo wanaume na pesa zai watulivu sana
Wapo wanaume na pesa zai watulivu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh weweSikiliza Man, sio dhambi kuoa Mwanamke anayekuzidi kipato.SIO DHAMBI.
Ni Dhambi kubwa kumwogopa mwanamke mwenye kipato kuliko chako nakumtoa katika kundi la mtu anayefaa kuolewa nawewe.
UKIJIAMINI KAMA MWANAUME, UKAKIAMINI KIPATO CHAKO, UKASIMAMA KAMA MWANAUME ,UKAMPENDA MKEO HUYO, ATAKUHESHIIMU SANA.
NDOA HAITAKI KIPATO CHA MWANAUME, NDOA HAITAKI ELIMU ZENU, NDOA HAITAKI MANINI YENU !!!
Kuna kitu kikubwa sana kipo nyuma ya hayo yote, na ukiwa nacho , haijalishi kakuzidi uchumi vipi, ATAKUHESHIMU.
Kwan wangapi mmeoa wamama wa nyumban au wanaowazidi kipato??? Lkn ndan ya nyimba hamuheshimiwi, mnadharauliwaaa vibayaa mpaka siri zenu ,zinajulikana nje?? Wangapi wenu mmeoa wanawake wadhaifu aa elimu,uchumi, uhuru, lkn bado wanawapelekesha kinoma????.
Wewe !!! acha hizo..hamna cha sez toy wala mume... WEWE KAMA NI MWAMAUME, USIPOUJUA UANAUME WAKO NANGUVU YAKE, HATA UPEWE MKE AMBAYA KAKOSWA ELIMU KAKOSWA UCHUMI YAAN ANAKUTEGEMEA, ATAKUSHINDA TUU.
NASEMA, ATAKUSHINDA.
Nani kakudanganya kuna umri usiokuwa na thamani kwa mwanamke?Broo, Hii Dunia ukiona mahali hapako sawa ujue Kuna wanaume wameshaharibu kitambooooo.
Kwan ma dizaina wa nguo hizi za uchi uchi ni akina nani?? .sisi wanaume.......lkn hapo kuna mwanaume atasema " mwanamke akivaa nguo hizi simuoi"
Kwan watengeneza Vipodozi vya kujichubua ni akina nani??..wanaume.....lkn hapo utasikia...Mwanamke aliyejichubua nimpeleke wapi???.
Lkn haya yote yanafanywa nao. Kujichubua, nguo za nusu uchi, kwajili yanan?? Kuwaridhisha wanaume.
Ikiwa wanaume wangesema Jaman wanawake vile mlivyo ndivo tunawapenda, unadhan wasingeolewa ??? Au leo wanaume tuamue, Kuanzia leo Wanawake wanaojichubua ndio wataolewa, unadhan kuna mwanamke atabaki nyuma???
Kwahiyo swali lako hilo la kwann hawaolewi..JIBU NI KUA, WAOAJI WENYEWE NDIO WAZENGUAJI...
unatongoza binti wa mtu, unamla zaidi ya miaka mitatu, umemtoa kwenye Age yenye thaman, mpaka umemleta kwenye age isokua thaman, umemtolesha mimba za kutoshaa
Kwann uhoji kuolewa kwake????
1-Pesa gan anatakiwa awe nayo mwanaume ndo imtoshe kua ndoani ?Mhh wewe
Uanaume ni pamoja na kuwa na hela
Ndoa inataka pesa asikudanganye mtu
Hii ni cheap and myopic conclusion. Ingekuwa hivyo, SSH angekuwa mtalaka.UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Yaani wanaume hakuna kitu tunaogopa kama kuwa controlled simply because of your shuke, mali au/na madaraka ya mwanamke kwenye maisha...UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”
Ss unapanic nini?1-Pesa gan anatakiwa awe nayo mwanaume ndo imtoshe kua ndoani ?
Mkulima
Mwalimu
Daktari
Mbunge
Wazir
Mo Dewji
Niambie katika hawa , nani mwenye haki ya KUOA NA KUINGIA NDOANI???.
2- Wewe hapo ndoani, mumeo anapesa kiasi gan?? ( alikuzawadia Gari na laaina gani?? ?) kama bado, anangoja nn?? Umeacha kumpenda??
3-Kama hujaolewa, chunga mdomo, unaweza usiolewe....kwa sababu hamna mwanaume asiye na pesa.
That Nigga ni namba nyingine, jamaa ana wake watatu anawamega kwa zamu.Hii ni cheap and myopic conclusion. Ingekuwa hivyo, SSH angekuwa mtalaka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣That Nigga ni namba nyingine, jamaa ana wake watatu anawamega kwa zamu.
Huyo mtu kaa chonjo kabisa usimuingize kwenye mijadala hii, ile ni mashine nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ubishi..hata wao wanawake wanajua ,thamani yao ni UMRI.Nani kakudanganya kuna umri usiokuwa na thamani kwa mwanamke?
Dida kila siku akipewa talaka anapata mume mpya na sasa ana mstahiki meya.
Wapo kina Anna Abdallah, Anne Kilango Malecela and likes.
Nadhani hatuelewani wacha nikuache.
Hamna aliyepanic..wewe jibu.Ss unapanic nini?
mwanaume ni provider
Unafikiri ndani tunakula nakupenda?
Kila mwanaume ana mwanamke wa 'level' yake...kila mtu anaweza kuoa ila uwepo wa kipato, hasa kwa mwanaume ni msingi wa ndoa kufanikiwa
Hizi age restrictions hizi ndo huwa zinawatesa na maamuzi kwenye maisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ubishi..hata wao wanawake wanajua ,thamani yao ni UMRI.
leo hii huwez kumsimamisha kigoli mwenye 23 yrs.. Na mdada wa miaka 36 ...
Alafu uulize muoaji chagua wakuoa...hata kama muoaji anamiaka 50, haraka haraka ataenda kwa Binti.
Ngoja nikuache maana nahisi wewe ni MUHA.
Aliyemuoa Dida, Umejua sababu zilizo nyima yakez pengine na yeye alishaoa na kuachana ndoa zaidi ya mbili.. Pengine ana watoto wakubwa nahataki tena kuzaaa, n.k, Pengine kwa utu uzima wake ,kaamua kutafuta mtu mzima mwenzie wazeeshane...
Kwa mfano kama wewe, hujawah kua ndoani, ndo sasa unataka kuoa, uanzishe familia yako... Ukaletewa Dida, ungemuoa????
Hata ivo tuwaachie wao na ndoa yao...itoshe kusema..THAMAN YA MWANAMKE IKO KATIKA REPRODUCTIVE AGE YAKE ( 18--35) , LINAPOKUJA SUALA LA NDOA TENA KTK HUO UMRI ANAYO HAKI YA KUFANYA MACHAGUZI, BAADA YA HAPO, ITABAKIA NI KUDRA TU..
Kwa ufupi, sio tu Mwanamke, hata wee mwanaume, una miaka zaidi ya 35 40 ,hujaoa, siunatatizo wewe ???.. Wewe ndo unafanya wanawake waonekane hawajaolewa, sababu HUTAKI KUOA.
Unajichanganya sijui umetumia nini leoHamna aliyepanic..wewe jibu.
Na ndio maana nmekuambia, HAMNA MWANAUME ASIYE NA PESA.
mwanaume anapokutongoza, nakukuambia muoane, maana yake, hata wewe ni wa level hiyo, na ameona anakudumu
Hata ivo, ukiwa mwanamke pia, hupaswi kua mawazo mgando namna hiyo, utaburuzwa na wanaume sana sana, kwa sababu takuja wa 5M atakula...atakuja wa 6 M atakulaz atakuja wa 7...9..10...50..100. Wote watakula.
Umeolewa na Mwalimu. Muheshim ktk ualimu wake pambaneni .
Umeolewa na Mfanyabiashara, muheshim ktk hiko, pambaneni ,muweze kuyafikia maisha yale mnayoyataka.
Kukaa tu na kuamka, na kujipodoa , nakuvaa dela, alafu " Nataka mwanaume mwenye pesa zake "...[emoji23][emoji23]
Wewe rudi ufunzwe na Mama yako !!!
Vipi kuhusu money restrictions???Hizi age restrictions hizi ndo huwa zinawatesa na maamuzi kwenye maisha
smtimes maisha hayana formula...
Alikuambia 40's hawazai ni nani?
Una mapepo...wapi nmesema mwanaume hahitaji hela kwa ndoa ???Unajichanganya sijui umetumia nini leo
nilishangaa ulipoandika 'mwanaume hahitaji hela kwenye ndoa' hapo tu
Mengine sijui umetoa wapi
Heheh dahhh hili povu lako leo watu tutalal tumechoka sana..Vipi kuhusu money restrictions???
Maisha hayana formula kwenye Age tu?????
Ila kwenye pesa, kipaumbele chako ni mwanaume mwenye pesa ???? Wewe are you serious???
Nani kakuambia ni rahisi kumkuta mwanaume mwenye 40 yrs hajaoa??
Mwanamke mpaka ufike 40 yrs, maana yake unahitaj mwanaume wa 38----45+...
Mwanaume gan utamkuta huo umri hajaoa ??? Kama hana matatizo[emoji23][emoji23]
Maana kama tayari anapesa ,Lazima atakua keshaoa,
Haya huyo hana pesa, Nawewe unataka wenye pesa, utamuumba????
Zaidi sana utasubiri, Mtalaka, Mgane, Asozalisha, N.k n.k !!.
Narudia Dear .huenda upo kwa age nzuri, USIICHEZEE . ... ACHANA NA MAHUSIANO YANAYOKUZIBIA NAFASI YA KUOLEWA.
Wapo wanawake wakipata finacial freedom tu kidogo.aisee utajuta kuwa jua sema itategemea malezi.aliyokulia, wanaomzunguka, hulka.yake na je umempata wapi.UPO ukweli kuwa wanaume wengi wanawaogopa wanawake wenye mafanikio. Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi kama alivyonieleza Godfrey, mwalimu wa sekondari jijini Arusha:
“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” Kwa mujibu wa Godfrey, uwezo wa kifedha na mafanikio kwenye maeneo mengine ya maisha mara nyingi humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”