Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Wanawake wenyewe tunamshangaa..

ana vinadharia flani hivi
Ngja tumuache akikua atayaona
Kumbe wanawake mnamshangaa? Nikajua ni wanawake wenye pesa, kumbe nyie njaa kali? Sasa mkimshangaa nyie na wanawake wenye pesa wakampa big up, atapungukiwa nini?

Wanawake wenye njaa kama nyie mkimshangaa mnamtilia nuksi tu! Acha wamshangae wenye 'mijihela' yao.
 
Hatutaki maneno yenu sio nyie, mbona mnakua michepuko yetu Sasa,[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Huwezi kupingana na nature,daima mwanaume ni mtawala na mwanamke ni mtawaliwa
 
Huyo unae jibizana nae hajaoa mkuu rejea moja ya comment zake hamtakaa mwelewane kaika hilo.
 
Kwahiyo u nurse tu unajiona umefanikiwa na unakgopwa na wanaume?
Ungekuwa MD si ingekua hatari
 
Mwanamke akikudhidi kipato mwanaume utageuka kuwa mpishi wa nyumbani,kulea watoto na kufanya usafi.Mwanamke akikudhidi kipato Basi wewe mzidi elimu.Akikudhidi elimu Basi wewe mzidi kipato.Akikudhidi vyote Basi wewe mzidi maarifa,Tunachokwepa ni kuepuka manyanyaso dhidi ya wanaume maana mwanaume utakuwa huna sauti ndani ya familia utaogopa hata kukuhoa.Sio wanaume wote waliozidiwa kipato wanafanyiwa hivyo Kuna wanawake wanavipato na vyeo vikubwa wamewazidi waume zao lakini heshima na nidhamu kwa mume iko palepale.
#Upendo sio kipato,Upendo haujivuni,Upendo sio kukomoana Bali Upendo ni kutoka moyoni na ni halisi chako chake,chake chako.Upendo ni kuombeana,kuchukuliana,kusameheana na kuvumiliana kwenye shida na raha yaani kulia pamoja na kucheka pamoja.
#Jambo usilopenda kutendewa tafadhali usimtendee mwenzio.[emoji848]
 
Usifananishe kufanya mapenzi na kuishi ndoa, anapofanya mapenzi na dereva hizo ni hisia za mwili, Ila huyo akithubutu kumuoa ndoa inavunjika wiki tu
 
Kwani umeoa bro?
 
Yaa lazima ujue kumtreat, na kumtreat kwake ni kumnyenyekea
 
Hatuwaogopi tatizo wana nyodo sana na dharau sana waache wabaki na utelezi wao
 
So kwetu sisi wanaume tunafanyaje Sasa Ili mwanamke Huyu tumuweke chini yetu?
Ni kuwa-dictate tu hamna jipya, Babu mzaa Mama alioa wanawake watano, wakeze wawili kutoka familia moja (Bibi yangu na mdogowe), Bibi zangu hao watano walikuwa wanalima, wanapalilia, wanavuna, wanampa mazao anauza, hela anatumia yeye labda awagawie kwa kupenda, bibi zangu hao mpaka mifugo na kukamua maziwa ilikuwa ni jukumu lao, silaha yake alikuwa ni mkali sana, kuwazibua makofi alikuwa hakawii, na aliwapangia zamu ya kupika pombe, kila mke alipewa wiki ya kupika debe mbili za pombe ya kunywa na rafiki zake (babu)...mwendo ulikuwa ni uleule mpaka kwa watoto wake wa kike (mama zetu) wamechunga ng'ombe....siri ni ileile ukitaka kumdominate mwanamke usicheke nae ...leo hii demu/mke mmoja anakupasua kichwa sababu dominance haipo sababu ya haki sawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umacheka naye au sio?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…