Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

...Faizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Foxxxyyyyyy toto la Kariakoo...toto la mjini!!!

 
...Faizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Foxxxyyyyyy toto la Kariakoo...toto la mjini!!!
Mkuu BAK Sijuwi yupo wapi Bibie FaizaFoxy Mkuu Invisible amempa BAN ya maisha Faizafoxy? Kapotea wapi bibie huyu namtafuta simuoni humu jukwaani jamani Faizafoxy wangu njoo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MAMMAMIA Kuna watu humu ndani kazi yao kuwakosoa wenziwao hawachangii kitu basi na wao kazi yao kubwa kuwakosoa watu

sijuwi ni kwanini na Wengine wanaangalia eti wewe ni Mwanamke au ni mwanamme sijuwi itawasaidia kitu gani? kama wanataka kutongoza si waende kwenye jukwaa la kutafuta wachumba lipo humu humu ndani hebu bonyeza hapa Love Connect Mimi nimeweka hii Thread ili sisi Wanaume tuache kufanya Tendo la Ngono kwa kutumia Tigo si kuweka kwa nia ingine ili kuwakataza wenzangu wanaopenda kuwafanya wanawake nyuma kinyume na Maumbile ya Binadamu anaye taka kuacha aache asiye taka na aendelee tu mwisho wake atauona.
 
Last edited by a moderator:
WaTanzania Tuache kuwafanya wanawake kinyume na Maumbile ya Binadamu Tigo. Tigo ina madhara makubwa jamani tuache.
 
Make love to your wife from the front or the back, but avoid anus ...
 
...Amechoshwa na BAN Mkuu lakini yuko sana tu. Kule kwenye siasa ndio anapatikana sana akipigia debe magamba na kukandiya CDM. Pia huzuka MMU hata hapa JF Doctor.

Nifundishe nitumie njia gani kumpata bibie FaizaFoxy? mkuu BAK amejificha nini?anamuogopa nani?
 
...Amechoshwa na BAN Mkuu lakini yuko sana tu. Kule kwenye siasa ndio anapatikana sana akipigia debe magamba na kukandiya CDM. Pia huzuka MMU hata hapa JF Doctor.
Nitamtafuta ingawa huko kwa MMU sio kwangu lakini nitakuwa nikienda kumchungulia yupo au hayupo bibie Faizafoxy? asante sana Mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kinyume na maumbile kivipi? Mbona inaingia sasa? na wote wawili wanapata raha? Argument yako ina matatizo makubwa. Ngono kwa binadamu ni zaidi ya kuzalisha tu, pia ni kwa ajili ya raha/kujiliwaza, Tigo haizalishi ila kusema ni kinyume na maumbile unakuwa unakosea.
Sioni tatizo kama partners wamekubaliana na wanafanya kwa usalama.
 
Ahsantwe kwa elhimhu muzhuri, ikho elewa kabisha nha ikho smbazhia wathu phia.
 
Kwa Maelezo yako mkuu kang Una halalisha watu watumie Tigo? Kwa Starehe zao?
 
...Shule hii ngumu banaa MziziMkavu...wengine (wake kwa waume) wameshaonja asali na unajua tena kila aliyeonja asali shurti.....
Kila aliye onja Asali hawezi kuiacha Mkuu BAK?

Hatari zilizoko kwenye ngono ya nyuma

• Uchafu: Ushoga unawaweka wahusika katika hali ya hatari ya uambukizi kwa sababu ya IDADI KUBWA YA VIINI VYA MAAMBUKIZI. Hii ni hatari kubwa sana hasa uume inapotumbukizwa kwenye tundu ya kutolea kinyesi kwanza halafu kwenye tundu ya tupu ya mwanamke.

• Magonjwa ya kuambukizwa: Magonjwa yanayoambatana na ngono ya nyuma ni HIV, saratani ya tundu ya mav.i na yale yanayopatikana kwenye mav.i kwa mfano: kuambukizwa kwa njia ya mkojo (UTIs), amoebiasis, shango, kisonono, salmonellosis, kaswende na mengineo.

• Ushoga ni mojawapo ya ngono hatari SANA kwa uambukizi wa HIV.

• Kuharibika kwa rectum [bakuli] na tundu ya kutolea mav.i—matokeo yake ni kutoweza kuzuia hata mav.i. Kwa kina mama wanao karibia kujifungua upata sana tabu wanaposukuma mtoto kwa ajili ya kuzaa na matokeo yake kutoka kinyesi badala ya mtoto, na hii inasababisha madhara kwa mama na mtoto.

• Ukumbuke hata ukitumia kondomu ngono ya nyuma ni hatari sana


Asilimia 90% ya wanaokula TIGO anapofikia umri wa miaka 50 huwa wanapata ugonjwa wa kuziba mrija wa kutolea mkojo na cancer Kansa ya kibofu cha mkojo. Sababu: Wakati unapokula TIGO na kukaribia kukojoa shahawa, intraurethal pressure huwa inaongezeka na uretha (mrija wa mkojo) huwa unatanuka na kuwa mpana kiasi cha kuweza kuvuta chembechembe za mavi na kuingia kwenye mrija wa mkojo, hizi chembechembe zikirundikana sana huwa zinakuwa nyingi na kusababisha mrija kuziba na zikikaa kwa muda mrefu sana zinasababisha cancer Kansa kuanzia kwenye mrija hadi kwenye kibofu cha mkojo.

Ukiliwa TIGO, sphinter zinacontrol haja kubwa isitoke na kurundikana kwenye rectum huwa zinalegea, zikisha legea tu unashindwa kuweza kucontrol haja kubwa na inaweza kukutoka bila ya wewe kujijua, kwa mwanamke huwa hina madhara sana, huwa wanashindwa kujifungua kwa njia ya kawaida, kila akisukuma mtoto, haja kubwa inamtoka bila taarifa.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…