Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kasome Biblia, Mathayo 12:32.Utaelewa.
Hayo yote nimeyasoma tangu nikiwa kinda.... Ndio nakwambia kaombe ufafanuzi Kwa mchungaji wako... Maaana yake hapo ni nini... Narudia tena dhambi zote husamehewa ukitubu kwa dhati nakumaanisha. Kifupi kumkufuru rohomtakatifu nikuacha kutubu sasa ukiacha kutubu utasamehewaje?



Niongezee.... Yani pale unaposikia sauti ya rohomtakatifu ikikusihi umetenda dhambi na ukaacha kuisikiliza hiyo sauti hapo hutasamehewa. Kwamaana rahisi nikwamba utasamehewaje ikiwa hujatubu nakuomba msamaha?
 
Hayo yote nimeyasoma tangu nikiwa kinda.... Ndio nakwambia kaombe ufafanuzi Kwa mchungaji wako... Maaana yake hapo ni nini... Narudia tena dhambi zote husamehewa ukitubu kwa dhati nakumaanisha. Kifupi kumkufuru rohomtakatifu nikuacha kutubu sasa ukiacha kutubu utasamehewaje?
Hata kuandika "roho mtakatifu " badala ya "Roho Mtakatifu ",nayo ni kufuru. Huna heshima kwa Nafsi ya tatu ya MUNGU, rekebisha uandishi.
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Akikuoa huyo niambie nitembee kwa miguu mpaka Bagamoyo. Nakupm namba zangu
 
Umeuliza swali muhimu Sana... Mana nikweli kuna maumbo mengine hata kama si mfiraji yanahamasisha.... Mimi huu mchezo siupendi hata kuusikia ila nishawa**** wanawake 3 sasa.... Yote nikutokana na mvuto wao.... Then most of them walionyesha uhitaji....Daaahhh Mungu anisamehe kuna Dada mke wa mchungaji Kabisa huyu inabidi nimuandikie uziwake special.... Mana nilistaajabu... Hakika Hakuna dhambi naijutia Kama yaku**** mwanamke ingawa ni mchezo mtamu Sana lakini huwa nakosa amani kila nikikumbuka.. Na sijui namna yakumlilia Munguwangu anisamehe....Hiii kitu haifai kabisa


half ukimla demu tigo bao linakuja fasta sanaa, cjui kwann kajembejr
 
Humu wanaokuponda wengi ni wafukuliwaji na wanaofumuliwa ..siku zote fata kile moyo wako unapenda kama unahisi si sahihi acha kama kwako ni sahihi endelea mpaka parapanda ilie
 
Humu wanaokuponda wengi ni wafukuliwaji na wanaofumuliwa ..siku zote fata kile moyo wako unapenda kama unahisi si sahihi acha kama kwako ni sahihi endelea mpaka parapanda ilie


umeongea kweli aisee, humu wengi ni wanafki...wanajifanya hawali/hawaliwi tigo kumbe ndo wadau wakubwa, especially wadada wengi wa humu jf ni wanafiki sana Denis denny
 
Huwezi kuzaa wewe tena maana tayari kunashimo hilo linapitisha hewa so labda kwa kisu...hii michezo sio
 
Umeona eeeh??! Labda haikuingia yote mkuu na ndio maana akaishia kujikuta kanogewa😕
Nilipelekwa huko na mdada pampu mbili tu nilijua huku sipo akanistukia kua nimehisi kitu mana ile nataka nichungulie nipate ushahidi tu alinibana kila idara nakuzidisha miuno utam ule dah ilibidi nimalize tu
 
Ujue Mkuu hata mie nimejikuta nawaza kwa sauti halafu nikakosa jibu.

Nimemuelewa sana pale aliposema toka aanze Chuo amekuwa na tabia ya kujaribu jaribu vitu tofauti na hiyo ndio sababu ya kilichotokea hizo nyingine mie naziona porojo tu.

Yaaani ....labda kalikuwa mgen wa mapenz so alishindwa kujisimamia akabaki kumuendekeza mwanaume . Afu bado yupo nae that means anaendelea kumfumua sasa sijui wana miaka mingap katka mahusiano yao, So sad
 
Mmmm iliingia tu bahati mbaya? Shemeji atakuwa na kibamia nini? Mana kama ndio Mara ya kwanza iliingia tu bahatimbaya na ukafurahia inamanisha rinda zilikuwa wazi tiari kwa mchezo husika.... Ila Pole Sana... Hakuna dhambi isiyo samehewa... Pia kama kijana lazima kunamambo kama hayo unapitia... Ila Kama roho inakusuta basi yakupasa uachane na huumchezo na kama jamaa anatishia kukuacha kisa humpi [emoji108]jua hakupendi na hanamalengo nawewe bali anakutumia kwa starehe zake.... Pole Sana ndugu yangu.
Kwambaa,.."rinda zilikua tiari kwa mchezo husika" hahaha nmecheka sana mkuu kwa jinsi hapo ulivyocheza na lugha fasaha kabsa ya kiswahili
 
Back
Top Bottom