kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,289
- 1,317
Hayo yote nimeyasoma tangu nikiwa kinda.... Ndio nakwambia kaombe ufafanuzi Kwa mchungaji wako... Maaana yake hapo ni nini... Narudia tena dhambi zote husamehewa ukitubu kwa dhati nakumaanisha. Kifupi kumkufuru rohomtakatifu nikuacha kutubu sasa ukiacha kutubu utasamehewaje?Kasome Biblia, Mathayo 12:32.Utaelewa.
Niongezee.... Yani pale unaposikia sauti ya rohomtakatifu ikikusihi umetenda dhambi na ukaacha kuisikiliza hiyo sauti hapo hutasamehewa. Kwamaana rahisi nikwamba utasamehewaje ikiwa hujatubu nakuomba msamaha?