Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.