Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Subirini matunda ya starehe zenu hapo ukubwa wewe jiandae kuzaa kwa operation au kuvaa pampas na huyo mwenzio Kuna hatari ya kutembea na vuko la mkojo maana sidhani kama anatifua lami kwa silaha, kwa Sasa endeleeni kupendana,
 
Jamani wakuu,member mwenzetu anaonesha kujutua vibaya sana sana na huo mchezo,ni jukumu letu kumshauri na kumtia moyo,kama asingesema yeye mwenyewe hapa tusingejua,ameamua kusema baada ya kuguswa na dhambi kubwa na mbaya sana sana,anaonesha kujuta,hakuna dhambi isiyosameheka kwa Muumba kama bado uko hai na ukaleta toba ya ukweli hasa.Ni wajibu wetu kumshauri vyema na kumtia moyo na siyo kumsakama. Ni wengi sana humu wake kwa waume wanafanya huo mchezo lakini hawaungami na kukiri kwa sababu hawako tayari kuuacha. Ujana ni mtihani sana kwani ni kipindi cha majaribu.
Tumtie moyo wakuu
Kama anaona anachokifanya si kizuri na anajutia anachotakiwa ni kuachana na huyo me lakini anakwambia anaogopa akimkatalia ataachwa Sasa utamshauri Nini mtu Kama huyo? Kwanza hapo Kuna mawili huenda ni kweli anaomba ushauri au yupo sokoni, yote yanawezekana
 
1. Umekuwa mtu wa kujaribu mambo mapya
2. Umeupenda mchezo na kunogewa

Zingatia mambo haya machache
1. Bado una nafasi ya kubadilika
2. Acha kuita huo mchezo kuwa ni "mapenzi ya kinyume na maumbile", kama ni mapenzi nini kinakufanya ujute?
3. Azimia kuacha na sio kujuta kila unaposali, majuto yanapaswa kukuelekeza kwenye maamuzi na sio kwenye masikitiko.

Kila la kheri


Giving away your life and dignity ili kukidhi haja ya perverted desires.....?!
"...Advice is useless that's why it is given freely..."
 
ingependeza zaidi ungetaja na gharama watu wajipange kabisa kabla ya kuja pm...
najua wajua wadau wa hii "bidhaa" yako wako tele humu.
 
Sijui unataka kusaidiwa nini hapo wakati inaonesha bado unapenda kusukumwa mbolea. Endelea hivo hivo wakati sahihi ukifika utaacha.
 
Wanaogopa kuachwa wengi wao si kwamba wanapenda ukweli mi hata km unanisugua mpk nazimia kundu sikupi ng'o
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] shida ni kutaka kujaribu uone ladha yakee
 
Umenifanya nitake kukutafuta ghafla dah...,ila enewei ngoja nighairi tu
isije ikaonekana mpenzi wa hiyo kitu wakati natumiaga siku mojamoja tu
 
Sio siri, jamaa anakudhalilisha mno. Mpaka hapo ujue hatakuoa. Imagine mtu anakulazima kufanya hivyo afu ukikataa anatishia kukuacha afu haji kukuoa...
Kinachonisikitisha ni kuwa jamaa anawatengenezea tatizo watakao kuja kukuoa (usinielewe vibaya)... Jamaa hakupendi.
Wakati wa kufanya maamuzi ni sasa.
 
Hivi ukipata tumbo la kuhara ukiwa kweny daladala huwa unajizuia vip? Kwasababu rinda hamna na sphinter zote zimelegea
 
Back
Top Bottom