Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
If you would be IGP what would you have done mkuu? Haya mambo yapo ktk akili, moyo wa mhusika/wahusika. Kama IGP utaweka sheria ya kudhibiti vipi wakati tendo lafanyika mafichoni, njia pekee ni kwa kutoa elimu kwa umma kama mtoa mada alichofanya.....lakini ni ngumu, sehemu kubwa ya wanaume kwa wanawake wameshapotoka sana kwa hili, yaani huwaambii kitu maana tendo hata kwa gharama hutozwa pesa nyingi kuliko tendo la njia ya kawaida, na most of things we do is for the money, kazi ipo, tena ipo sana na pengine only God himself can stop it ila kwasisi binadamu hapana ni late sana, mataifa makubwa yenye ushawishi wa dunia yanaruhusu hii kitu na hadi kuanza kukandamiza mataifa madogo yaruhusu hii kitu ili kupata msaada, sasa we kuwa IGP yaani ni kama nyota moja ktk anga, yaani huonekani, anga ina sayari nyingi kubwa zaidi ya hii dunia sa we nyota utafanya nini. Just pray for ur family, epukeni malezi ya kizunguzungu na kimayaiyai, watoto muwashikishe dini tangu wakiwa wadogo na haitoshi badi kaa nao waambie ukweli halisi ili zuri na baya na madhara ya baya na dalili za baya na chanzo cha bayaYaache yavae nepi mapumbavu makubwa!
I wish I could be IGP!
Kama una chura we mfungie na umbane kwelikweli ila kama umemuacha anarukaruka ndugu atakamatwa na kupigwa balaaaaaMungu niepushe na hili balaa
Bendi ya niniMkuu unaua bendi
Wewe umetumia Bangi ya mkoa ganjSasa unadhani mitaro itazibuliwa na nani
Unataka mamende waishije
Wewe ni mvivu wa kosoma bingwa wa kuangalia movieNdefu sana, aliesoma anipe summary
Unalako weweYaache yavae nepi mapumbavu makubwa!
I wish I could be IGP!