Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Yaache yavae nepi mapumbavu makubwa!
I wish I could be IGP!
If you would be IGP what would you have done mkuu? Haya mambo yapo ktk akili, moyo wa mhusika/wahusika. Kama IGP utaweka sheria ya kudhibiti vipi wakati tendo lafanyika mafichoni, njia pekee ni kwa kutoa elimu kwa umma kama mtoa mada alichofanya.....lakini ni ngumu, sehemu kubwa ya wanaume kwa wanawake wameshapotoka sana kwa hili, yaani huwaambii kitu maana tendo hata kwa gharama hutozwa pesa nyingi kuliko tendo la njia ya kawaida, na most of things we do is for the money, kazi ipo, tena ipo sana na pengine only God himself can stop it ila kwasisi binadamu hapana ni late sana, mataifa makubwa yenye ushawishi wa dunia yanaruhusu hii kitu na hadi kuanza kukandamiza mataifa madogo yaruhusu hii kitu ili kupata msaada, sasa we kuwa IGP yaani ni kama nyota moja ktk anga, yaani huonekani, anga ina sayari nyingi kubwa zaidi ya hii dunia sa we nyota utafanya nini. Just pray for ur family, epukeni malezi ya kizunguzungu na kimayaiyai, watoto muwashikishe dini tangu wakiwa wadogo na haitoshi badi kaa nao waambie ukweli halisi ili zuri na baya na madhara ya baya na dalili za baya na chanzo cha baya
 
hizo habari za mknd kutanuka kwajili ya anal sex ni habari za kusadikika na wala hazifahamiki sana kwe medical community hata wale senior gastroenterologists hawajawahi kukutana na hizo case then wakaestablish cause kuwa ni anal sex, ila moja ya madhara ambayo mtu anayeingiliwa nyuma anaweza kuyapata ni kansa ya mkundu(anal cancer) ambayo ni mbaya sana nayo si kwamba inahusiana moja kwa moja na tendo lenyew bali ni kuwa kunja risk kubwa ya kuambukizwa virusi bya HPV ambavyo husababisha cancer hiyo, so ni vema hizo habari za kutanuka ukaweka pemben maana inaweza isitokee kabisa hata ukifny kwa miaka kumi lakini risk ya kupata maambukizi ya HPV itayokupelekea kupata cancer ya huko ndo yakuiogopa zaidi
 
Pamoja na UTUNDU wangu wote.

TAKO ni tofauti na MIMI.

Sijawahi kula TAKO.

Na sitothubutu kula TAKO
 
Mtu yoyote ambae anaweza kumuingilia MWANAMKE kinyume na Maumbile, basi ujue huyo MTU hatosita kumuingilia CHOKO
 
Mimi ninaamini Mtu yoyote anaemuingilia MWANAMKE kinyume na Maumbile basi huyo Mtu akili zake si TIMAMU pamoja ya kuwa anaweza kujiona amekamilika.

Mbele kuna RAHA yake, unajitelezea unavyotaka.

Nyie mnaofuata Nyuma mnachokitaka ni nini?

Kuna Watu wa ajabu sana hapa ULIMWENGUNI
 
Back
Top Bottom