Urafiki wangu na carba haukuanzia barabarani ni urafiki wa damu usiufananishe na unafiki wa huyo mndengereko aliyezaa mwarabuUswahiba na carbamazepine umeanza lini? Kama ni rafiki yako sema mapema. Huyo aliekuletea figisufigisu na yeye si alikua rafiki yako?
Funguka kama carba nae ni rafiki yako tumfanyie usaili upya.
carbamazepine
Mtoto kafata kwa bibi(Bushoke Mume bwege)Urafiki wangu na carba haukuanzia barabarani ni urafiki wa damu usiufananishe na unafiki wa huyo mndengereko aliyezaa mwarabu
Urafiki wangu na carba haukuanzia barabarani ni urafiki wa damu usiufananishe na unafiki wa huyo mndengereko aliyezaa mwarabu
Asante mwaya, move on. Ndoa za bomani sio inshu mwambie akusubiri uolewe ya kanisani uachike ndo mrudianePole nawe kwa kukutwa. Hapa ni break niwe single nisiwe single hawezi kunipata tena ng'oo
Kweli hiyo nayo inaumiza, hapo ndipo aliyetendwa anapofarijika na kuona Mungu amelipa machozi ya mnyongeTena mkosaji anapokuja kutambua kwamba alichokiachia kilikua ni dhahabu na hicho alichokikimbilia ni kipande cha chupa kisicho na thamani inakua too late, huku kaachia kule hajashika!
Asante dear!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kunikumbusha huo wimbo ngoja nitamdedicate siku akinichokozaMtoto kafata kwa bibi(Bushoke Mume bwege)
Hahahaaaa utapambana na hali yako![emoji16][emoji16]
Nimependa sana ushauri wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante mwaya, move on. Ndoa za bomani sio inshu mwambie akusubiri uolewe ya kanisani uachike ndo mrudiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mwaya, move on. Ndoa za bomani sio inshu mwambie akusubiri uolewe ya kanisani uachike ndo mrudiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo dini yenu safi sana maana inasaidia mtenda kuonja utamu wa kutendwa!Au ndio maana sie maustaadh dini inasema ukimpa talaka mwanamke inabidi aolewe aachike ndio mrudiane?
Hiyo dini yenu safi sana maana inasaidia mtenda kuonja utamu wa kutendwa!
Asante kaka!
Sio kwa jinsi tulivyoachana vile, hii story nimeifupisha tu ila maisha baada ya kuachana hayakuwa marahisi kiasi hicho, nilipitia mengi mnoWakat fln n bora kumpokea aliyejifunza makosa kulko kumpokea MTU mpya maishan mwako japo inategemea na aina ya kuachana kwenu .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasomee sio swala la kuamua kuwa tuSijui niwe mwanasaikolojia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumuumiza mwenzio hivyo halafu unasema ni wimbo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, naona kesi imeshapiga sambasolti kama hizi risasi za sasa.Mwambie wewe maana nikisema mimi ananiona sina maana