Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kumbe wewe ni She? Nimekuja kugundua mwishoni kabisa. Nilichokiona una hulka ya kiume huenda pia ungemtesa kijana wawatu angekuoa.

Namaanisha kwamba:-
Wadada wengi/Wakaka wengi hujiaminisha kuwa eti X-wake aliyemuacha angemuoa yeye angekuwa na maisha mazuri kuliko anavyoishi na huyo aliye naye. Hii haina tofauti na kupiga ramli.

Maisha hubadilika kulingana na mazingira usishangae wewe ndiyo ungezaa mwarabu badala ya huyo mwingine.

Chakusema hapo ni pole na mapenzi ya Mungu yatimizwe siyo kujiosha kwa chupa ya asali ili hali ukijua wadudu wakitua watang'ang'ania mgongoni mwako na hatimaye kufa na kuleta harufu mbaya mwilini mwako. (Oga hakuna mkamilifu).
 
Hali yako ikoje baada ya hilo tukio
Je bado hujampata mwenzi wako kama bado nakushauri usipoteze muda nenda fasta


Sent using Jamii Forums mobile app
Hali yangu iko vyema, niko imara kama chuma. Nashukuru kwa ushauri wako ila sina haja ya kuharakia haya maisha tena. Lililopangwa na Mola litatimia kwa muda muafaka!
 
Rafiki mimi ni binadamu wala sio malaika hivyo nina madhambi yangu pia, sipingani nawe katika hilo. Lengo la kushare hapa sio kwamba namhukumu la hasha bali nimeshare ili watu wajifunze kitu kutokana na mkasa huu kwani najua mimi sio wa kwanza kutendwa hivi wala sio wa mwisho.

By the way, kwanini umesema nina hulka za kiume?
 
naomba summary tafadhali Thad
 
Yaan umemjibu kistarabu hadi nimezidi kukupenda. Yaan watu wenye mioyo kama yako(majibu yenye staha)ni wachache sana.

Thank God kwa kukupa huo moyo rafiki yangu mpenzi.

Mungu azidi kukupa baraka na maombi yako yakajibiwe sawasawa na mapenzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…