Du! Hebu mwite kwanza mwenyewe hapa ili apate ushauri wa moja kwa moja we unaweza ukampotosha au kumpa ushauri tofauti na tutakaokupa hapa. Mwambie ajiunge tu hapa jf.
Anasingizia tu yeye ndiye mhusika! Pole kijana! Ngoja waje wataalam!
Umesema anaposafiri anakuachia jukumu la kwangalizia familia alafu amerudi mke anataka kiliwa 0713 wakati wewe ndio ulikua mwangalizi WA familia yake isijekua wewe ndio uliyemfundisha.Kama sio mshauri jamaa amle Zen amtimu kwani hatafugika tena
Huu uangalizi wa kukabidhiana mbaya sana, watu wengi wamelizwa sana na marafiki kwa mtindo wa kukabidhi kabidhi, unakabidhi halafu unaenda nje miaka minne!! ukirudi unakauta uliyemkabidhi keshakuongezea idadi ya watoto .ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu, na mimi hufanya hivyo pia
...???!!!
ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu, na mimi hufanya hivyo pia
...???!!!
Huu uangalizi wa kukabidhiana mbaya sana, watu wengi wamelizwa sana na marafiki kwa mtindo wa kukabidhi kabidhi, unakabidhi halafu unaenda nje miaka minne!! ukirudi unakauta uliyemkabidhi keshakuongezea idadi ya watoto .
mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile , anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini,
...???!!!
ushauri uko wazi kabisa,jamaa akiwa masomoni bila shaka kabisa mkewe alikuwa anatembea nje,ktk kufanya ujinga huo lazima alikutana na vijana wa mjini,ambao walimla tigo,sasa suala la kumshauri huyo jamaa yako ni gumu,maana mapenzi hayana ushauri,na jamaa akikataa kumla tigo na kwa kuwa mwanamke kazoea,lazima ataenda kuliwa nje,mwanamke huyo ameshakuwa shetani tayari,na dawa ni kumuacha ila ww usimshauri jamaa yako hivyo,mwache aamue mwenyewe,unaweza kumwambia amuache kumbe yeye bado anampenda,upo hapo? mwache na msalaba wake,hivi karibuni kuna kitabu changu cha masuala ya ndoa kitatoka,kitawasaidia sana wale ambao wanataka kuingia ktk ndoa,wajue kuwa ndoa c kitu cha kurukia tu,ni rahisi kutajirika kuliko kumpata mwanamke mwaminifu soma biblia ktk mithali 16:19
Nipe jina la mkoa wanaoishi hao wanandoa tafadhali
Hii mitihani ingekua shirima hapa au massue saa nyingi angeazima kale kamguu ka kuku ka Munisi amalizane na hili jambo
...???!!!ushauri uko wazi kabisa,jamaa akiwa masomoni bila shaka kabisa mkewe alikuwa anatembea nje,ktk kufanya ujinga huo lazima alikutana na vijana wa mjini,ambao walimla tigo, sasa suala la kumshauri huyo jamaa yako ni gumu,maana mapenzi hayana ushauri,na jamaa akikataa kumla tigo na kwa kuwa mwanamke kazoea,lazima ataenda kuliwa nje,mwanamke huyo ameshakuwa shetani tayari,na dawa ni kumuacha ila ww usimshauri jamaa yako hivyo,mwache aamue mwenyewe,unaweza kumwambia amuache kumbe yeye bado anampenda,upo hapo? mwache na msalaba wake,hivi karibuni kuna kitabu changu cha masuala ya ndoa kitatoka,kitawasaidia sana wale ambao wanataka kuingia ktk ndoa,wajue kuwa ndoa c kitu cha kurukia tu,ni rahisi kutajirika kuliko kumpata mwanamke mwaminifu soma biblia ktk mithali 16:19