ushauri uko wazi kabisa,jamaa akiwa masomoni bila shaka kabisa mkewe alikuwa anatembea nje,ktk kufanya ujinga huo lazima alikutana na vijana wa mjini,ambao walimla tigo, sasa suala la kumshauri huyo jamaa yako ni gumu,maana mapenzi hayana ushauri,na jamaa akikataa kumla tigo na kwa kuwa mwanamke kazoea,lazima ataenda kuliwa nje,mwanamke huyo ameshakuwa shetani tayari,na dawa ni kumuacha ila ww usimshauri jamaa yako hivyo,mwache aamue mwenyewe,unaweza kumwambia amuache kumbe yeye bado anampenda,upo hapo? mwache na msalaba wake,hivi karibuni kuna kitabu changu cha masuala ya ndoa kitatoka,kitawasaidia sana wale ambao wanataka kuingia ktk ndoa,wajue kuwa ndoa c kitu cha kurukia tu,ni rahisi kutajirika kuliko kumpata mwanamke mwaminifu soma biblia ktk mithali 16:19