thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
Hivi na kupiga nyeto ni uzinzi?? Kama sio basi naona itakuwa njia sahihi kwa sisi vijana kuepukika na uzinziIla kweli wengi wanajificha kwe maovu kujifanya kuchagua dhambi kama kukemea dhambi anzeni uzinzi I'll jamii isiyakaribie hayo ya kinyume na maumbile
Habari wakuu wa Jf family.....
Jamii yetu kwa sasa inapitia hii laana kubwa ya dunia ambayo natumai itatupeleka wengi motoni kwani ni kitendo ambacho kinaenda na kinyume na matakwa ya muumba wetu.
Vijana kwa wakubwa wengi wameshikwa na matamanio ya kufanya hili jambo wakiamini ni njia mbadala ya kupata raha zaidi na wengi huamini kuwa kuna utamu zaidi ya njia salama ambayo muumba wetu alitupatia...
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile kuna madhara mengi kwa mwanamke na mwanaume. Mwanamke anayefanyiwa kitendo hichi kwanza hupelekea mishipa ambayo inamsaidia kuratibu swala lazima la haja kubwa kufeli kufanya kazi vizur hivyo humsababishia tatizo la kujinyea kwani mishipa inakuwa imelegea kiasi kwamba inashindwa kuvumilia speed ya kinyesi na kusababisha njia kuachia tu!!
Lakini Pia kwa mwanamke hichi kitendo humsababishia kuleta matatizo kwenye maswala ya uzazi kwani husemekana mwanamke hushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida na wengi hufanyiwa operation.
Kwa mwanaume anayefanya hichi kitendo anahatari ya kupata magonjwa ya kansa kwenye njia yake ya mkojo kwani lakini hupelekea wakati mwingine kupata UTI, lakini pia magonjwa ya zinaa pia yanaweza kumpata kwa kufanya kitendo hichi!!!
JAmani tuache maisha ya kuiga mambo ambayo hayana faida zaidi yakutuongezea maradhi...kwani huwa tunakwama wapi jamani??? Hii ni dhambi kubwa sana jamani mbele mbona kutamu tu jamani!!
Mnaofanya hivi vitendo naombeni Muache na Mwenyezi Mungu awasameheehhe kwani Muumba wetu ni muelewa na yupo tayari kumpokea yule ambaye anakiri makosa yake na yupo tayari kumpokea.... Hata kwa ndugu zangu waislamu sidhani kama MTUME Mohammad (S.A.W) anapendezwa na hili swala.
Natamani serikali yetu ingewatumia madaktari wetu kutoa elimu juu ya haya mambo katika jamii zetu natumaini case nyingi za watu wanaoingiliwa kinyume na maumbile yao bila ridhaa yao yangepungua...
Na WW KIJANA AU MZEE UNAYEMLAZIMISHA MPENZI WAKO AU MKE WAKO WA NDOA KUSHIRIKI HII LAANA USHINDWE NA MWENYEZ MUNGU AKAKUONGOZE KATIKA NJIA SAHIHI...
Sijajua wenye elimu ila haikuainishwa kama uzinziHivi na kupiga nyeto ni uzinzi?? Kama sio basi naona itakuwa njia sahihi kwa sisi vijana kuepukika na uzinzi
hili nalo nenoKama kila mtu anaupinga ni kina nani wanafanya? [emoji848]
Wengine wanawafanyia ako kamchezo mke wa ndoaZinaa ni zinaa tu uwe unafanya kwa mbele au kwa nyuma tofauti yenu matundu ila mwiko ule ule ,kikubwa wengi wanaopinga anal sex ni wanaotumia vaginal sex hapo wanafanya kama kujificha ANY WAY ZINAA SI NZURI MUACHE WOTE MNAOFANYA HIZO ANAL NA VAGINAL
Yani wewe badala ya kumshukuru Mungu mumeo anakuheshimu unataka kumkaribisha shetani kwenye ndoa wanaume wengi wenye tabia hzo mbaya si waoaji utakuja kujuta madahara utakayopata kwa laana unayotaka kuianzisha hiyo ni laana kubwa utashndwa kuzaa kawaida kwa kuarisha hovyo utaleta magonjwa ya ajabu ajabu ikimbie dhambi we dada Muogope Mungu nakuombea kwa jina la Yesu acha tabia chafu utaiharibu ndoa sasa hivi.Mficha maradhi kifo humuumbua kwa kweli kama ni mateso nayapata sana mpaka nimefika mahali najiona mtumwa wa mapenzi nampenda sana my hub mpaka kumsaliti naogopa but kila tuwapo faragha Kuna michezo naimis na naogopa kumwambia
huu mchezo nilifundishwa na mpenzi wangu aliyenitoa usichana ila bahati mbaya alipata ajali akafariki toka apo naumis sana kwa kweli ..nadhani kwa watu wazima washaelewa ni mchezo gani huu naongelea nashindwa nianzeje mpaka huyu mume wangu anipe na nisikie raha ya mapenzi maana nimekua mtumwa kwa kweli ...
natumia njia mbali mbali mbuzi kogoma kwenda,dog style but kiukweli naona haelewi ...naumia sana nifanyeje aelewe? Au nifanyeje niache na nisikie raha kama wenzangu?
Mchezo gani huo?
MhhhhhhīCjawahi kuona wakikose tundu by the way suala la kuchezea matope ni maamuz ya watu 2
Mumeo ucjaribu kumpa utaachwa wape mabaharia tu wautengnez vyema mlango mpya Wa fahamMficha maradhi kifo humuumbua kwa kweli kama ni mateso nayapata sana mpaka nimefika mahali najiona mtumwa wa mapenzi nampenda sana my hub mpaka kumsaliti naogopa but kila tuwapo faragha Kuna michezo naimis na naogopa kumwambia
huu mchezo nilifundishwa na mpenzi wangu aliyenitoa usichana ila bahati mbaya alipata ajali akafariki toka apo naumis sana kwa kweli ..nadhani kwa watu wazima washaelewa ni mchezo gani huu naongelea nashindwa nianzeje mpaka huyu mume wangu anipe na nisikie raha ya mapenzi maana nimekua mtumwa kwa kweli ...
natumia njia mbali mbali mbuzi kogoma kwenda,dog style but kiukweli naona haelewi ...naumia sana nifanyeje aelewe? Au nifanyeje niache na nisikie raha kama wenzangu?
Kweli mkuuBora usafishe mtaro kuliko kuwa mwizi au kuuza ngada. Lakini mwizi na muuza ngada mnawapa heshima kwenye jamii na waheshimwa mnawaita.
Sasa kwann watu wanachagua dhambi ? Yaani wanaenda kinyume na bibliaKama wewe ni mkristu sidhani Kama biblia yako inasema hivyo. Dhambi Ni dhambi. Uchepuke au usafishe mtaro yote sawa.
Kwa kuwa watu ni wanafikiKwenye hizi topic za ulaji wa tiGO sioni vifungu vya biblia vikinukuliwa!!?? Kulikoni?
INRI
Sent using Jamii Forums mobile app