Habari wakuu wa Jf family.....
Jamii yetu kwa sasa inapitia hii laana kubwa ya dunia ambayo natumai itatupeleka wengi motoni kwani ni kitendo ambacho kinaenda na kinyume na matakwa ya muumba wetu.
Vijana kwa wakubwa wengi wameshikwa na matamanio ya kufanya hili jambo wakiamini ni njia mbadala ya kupata raha zaidi na wengi huamini kuwa kuna utamu zaidi ya njia salama ambayo muumba wetu alitupatia...
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile kuna madhara mengi kwa mwanamke na mwanaume. Mwanamke anayefanyiwa kitendo hichi kwanza hupelekea mishipa ambayo inamsaidia kuratibu swala lazima la haja kubwa kufeli kufanya kazi vizur hivyo humsababishia tatizo la kujinyea kwani mishipa inakuwa imelegea kiasi kwamba inashindwa kuvumilia speed ya kinyesi na kusababisha njia kuachia tu!!
Lakini Pia kwa mwanamke hichi kitendo humsababishia kuleta matatizo kwenye maswala ya uzazi kwani husemekana mwanamke hushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida na wengi hufanyiwa operation.
Kwa mwanaume anayefanya hichi kitendo anahatari ya kupata magonjwa ya kansa kwenye njia yake ya mkojo kwani lakini hupelekea wakati mwingine kupata UTI, lakini pia magonjwa ya zinaa pia yanaweza kumpata kwa kufanya kitendo hichi!!!
JAmani tuache maisha ya kuiga mambo ambayo hayana faida zaidi yakutuongezea maradhi...kwani huwa tunakwama wapi jamani??? Hii ni dhambi kubwa sana jamani mbele mbona kutamu tu jamani!!
Mnaofanya hivi vitendo naombeni Muache na Mwenyezi Mungu awasameheehhe kwani Muumba wetu ni muelewa na yupo tayari kumpokea yule ambaye anakiri makosa yake na yupo tayari kumpokea.... Hata kwa ndugu zangu waislamu sidhani kama MTUME Mohammad (S.A.W) anapendezwa na hili swala.
Natamani serikali yetu ingewatumia madaktari wetu kutoa elimu juu ya haya mambo katika jamii zetu natumaini case nyingi za watu wanaoingiliwa kinyume na maumbile yao bila ridhaa yao yangepungua...
Na WW KIJANA AU MZEE UNAYEMLAZIMISHA MPENZI WAKO AU MKE WAKO WA NDOA KUSHIRIKI HII LAANA USHINDWE NA MWENYEZ MUNGU AKAKUONGOZE KATIKA NJIA SAHIHI...