Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?


Mke ni wa mshikaji wako au mkeo? Weka wazi takusaidie hapa
 
Ndoa za siku hizi majanga............ jamani kina kaka na kina dada ndoa sio lelemama, si ngoma ya mdundiko au mdumange kusema leo ipo mtaani kwako kesho mtaa wa pili. Ndoa ni pamoja na kupendana, kuvumiliana, kuonyana na kurekebishana. Huyo rafiki yako alikwambia alipokutana na proposal hii alichukua hatua gani kwanza au alikimbilia moja kwa moja kwako kushtaki? Kwa nini asimkalishe mkewe chini na kumhoji kulikoni juu ya mageuzi mapya kitandani mwao? nini kimemfanya adhani hiyo ni njia njema ya kufamya mapenzi, na kama alijibiwa je alijaribu kumwelewesha madhara yake? Mbona anakimbilia kumrudisha kwao, akimrudisha ndio atakuwa ametatua tatizo?
 
Miss Tanzania maarufu wa Bongo aingiliwa kinyuma(kabaang) na lil wayne wa bongo! Inasemekana yeye mwenyewe ndio aliomba-source xdeejayz blog
 
Hakuna mwanaume wa kiafrika anayeweza kwenda kuomba ushauri juu ya hilo.Ni either kumtwanga talaka au kumshughulikia!!!`
Mtizamo mwingine ni kuwa ukiwa umekaa nje ya mkeo kwa muda mrefu ile hamu inakuwa si ya kawaida na kama huwezi kujizuia unaweza anzia choo cha airport!!!!
Jingine ni kuwa mwanamke akiamua kumegwa mwanamume huna ujanja,utajuti baada ya kumaliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi, jambo intimate kama hili mwanaume kamili unaanzaje kumsimulia rafiki yako badala ya kudeal nalo inavyopaswa? aaaarg

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:

Huyo mwanamke hizo akili nyingi unazosema ww hana hata chembe coz picha nzima inaonyesha huyo binti alikuwa anafyatuliwa tigo...jamaa achukue maamuzi magumu tu amwage huyo mkewe maiaha yaendelee km kawaida...kwa ufupi nawachukia wote wanaotoa na wanaoliwa tigo...
 
Pole sana kwa jamaa yako, naamini huyo mke wake ameanza hako kabiashara au amesikia kakipigwa promo kwa mashost zake, la msingi jamaa apige magoti amwombe MUNGU na huyo mke wake afanyiwe maombi kuna kashetani amekameza.
 
Leo(tarehe 4/1) ni siku ya Saratani Dunian.

Mtalaamu wa Saratani, Ocean Road Cancer Institute (ORCI) Dr. Ngoma ameeleza kuwa kufanya mapenzi kinyume cha maumbile hususani sehemu ya haja kubwa. Ni hatari na inaweza sababisha KANSA.. Wenye michezo hii achene mtakufa kwa tama zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…