RUDVANNESTROOY
Member
- Dec 12, 2012
- 69
- 14
Wadau naamini mko poa,
Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.
Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.
Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.
Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.
Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.
Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.
Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.
Mke ni wa mshikaji wako au mkeo? Weka wazi takusaidie hapa