Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.

Mke ni wa mshikaji wako au mkeo? Weka wazi takusaidie hapa
 
Ndoa za siku hizi majanga............ jamani kina kaka na kina dada ndoa sio lelemama, si ngoma ya mdundiko au mdumange kusema leo ipo mtaani kwako kesho mtaa wa pili. Ndoa ni pamoja na kupendana, kuvumiliana, kuonyana na kurekebishana. Huyo rafiki yako alikwambia alipokutana na proposal hii alichukua hatua gani kwanza au alikimbilia moja kwa moja kwako kushtaki? Kwa nini asimkalishe mkewe chini na kumhoji kulikoni juu ya mageuzi mapya kitandani mwao? nini kimemfanya adhani hiyo ni njia njema ya kufamya mapenzi, na kama alijibiwa je alijaribu kumwelewesha madhara yake? Mbona anakimbilia kumrudisha kwao, akimrudisha ndio atakuwa ametatua tatizo?
 
Miss Tanzania maarufu wa Bongo aingiliwa kinyuma(kabaang) na lil wayne wa bongo! Inasemekana yeye mwenyewe ndio aliomba-source xdeejayz blog
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.
Hakuna mwanaume wa kiafrika anayeweza kwenda kuomba ushauri juu ya hilo.Ni either kumtwanga talaka au kumshughulikia!!!`
Mtizamo mwingine ni kuwa ukiwa umekaa nje ya mkeo kwa muda mrefu ile hamu inakuwa si ya kawaida na kama huwezi kujizuia unaweza anzia choo cha airport!!!!
Jingine ni kuwa mwanamke akiamua kumegwa mwanamume huna ujanja,utajuti baada ya kumaliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hivi, jambo intimate kama hili mwanaume kamili unaanzaje kumsimulia rafiki yako badala ya kudeal nalo inavyopaswa? aaaarg

CC Asprin
 
Last edited by a moderator:
Kaka naomba ufafanuzi kati ya mume na mke wanamaelewano vizuri???Je huyo ndugu yako amekaa India muda Gani
??? Hakika usishangae kuwa anayetaka kuvunja ndoa ni mke..Kumbuka India ndio vinara wa kufanya kinyume na maumbile hivyo mwanamke anataka kujua kama Mumewe alipokuwa huko alijishughulish na huduma hiyo sasa akidiriki tu kukubali imekula kwake....
Au Mwanamke amedanganywa na mwanaume mwingine ambaye anaamini ndiye aliyekuwa akimridhisha kipindi mumewe alipokuwa hayupo sasa maadamu amerudi anatafuta jinsi ya kuendelea na mahusiano hayo inashindikana hivyo natafuta kutengeza mtafaruku ndani ili atolewe balu aendelee kula habari ya mjini.

Kwangu namshauri huyo mwanaume aichukue uamzi wowte kwa kuwa yuko ndani ya mtego ambao umetegwa kiakili nyingi sana atulie atulize akili amuombe mungu na amwambie mkewe nimekusahamehe hakika taona mke atakavyofunguka..

Huyo mwanamke hizo akili nyingi unazosema ww hana hata chembe coz picha nzima inaonyesha huyo binti alikuwa anafyatuliwa tigo...jamaa achukue maamuzi magumu tu amwage huyo mkewe maiaha yaendelee km kawaida...kwa ufupi nawachukia wote wanaotoa na wanaoliwa tigo...
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.
Pole sana kwa jamaa yako, naamini huyo mke wake ameanza hako kabiashara au amesikia kakipigwa promo kwa mashost zake, la msingi jamaa apige magoti amwombe MUNGU na huyo mke wake afanyiwe maombi kuna kashetani amekameza.
 
Leo(tarehe 4/1) ni siku ya Saratani Dunian.

Mtalaamu wa Saratani, Ocean Road Cancer Institute (ORCI) Dr. Ngoma ameeleza kuwa kufanya mapenzi kinyume cha maumbile hususani sehemu ya haja kubwa. Ni hatari na inaweza sababisha KANSA.. Wenye michezo hii achene mtakufa kwa tama zenu.
 
Back
Top Bottom