Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????
Kwa mkewe hawezi, kwa hawara anapewa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????
chanzo mara nyingi ni sisi wanawake kwa maana ya
huku. mitaani waanawake wengi sana wanaliwa nyuma kwa ujinga kuwa ukimpa mwanaume nyuma anaridhika na kufurahi na hakuachi...kumbe hakuna lolote
sasa na wakina baba wakishazoea supu ya utumbo wakirudi pale mungu amerugusu kulia uroda huku majumbani kwa wake zao wanaona hapawanogei tehetehe ndo mwanzo wa kuomba kabhang kwa wake zao wakinyimwa ndo KAZI INAANZA......
MIMI AWE WA NDOA AMA MCHEPUKO SITOI HOYO KITU NG'OMBE NA MBUZI NNDO WANATUMIA BINADAMU AMEPEWA SEHEMU MAALUM KWA URODA
Kwa jinsi ninavyo heshim mila na destur zetu, kwa jinsi ninavyo mheshim my GF siwez hata kumwambia
hahahaha oya upo
kweli mume wako anaeza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa????
GF wako akitaka yeye mwenyewe unafanyaje?
Mkuu kulikoni, hebu mwite shemeji yetu tumpe darasa la ni nini cha kutumia na kipi cha kuacha!
nahisi mtu akikuomba tigo amekudhalilisha sana
haswa mume wako
Katika kipindi kigumu ambacho wanawake tunapitia ni kipindi cha ndoa. Nowadays ndio nyingi zinavyoonekana sivyo zilivyo ndani, ndani zimejaa unyanyasaji mkubwa sana ila zinafunikwa tu na neno ndoa na wanawake tukitoka nje tunatabasamu hii inafanya wanaotutazama waamini tunafuraha.,hii si kweli ni wachache sana wanao furahia ndoa zao. Wanawake wengi wanafanyiwa udhalilishaji huu wa kinjinsia siyo kwa sababu wanapenda, wengi hawapendi wengine wanafanya tu kunusuru ndoa yake na hii inasababishwa na mila na desturi zetu kwamba ukiolewa ukarudi nyumbani inaleta picha mbaya kwako mwenyewe na familia yote kwa ujumla sasa unakuta wengi wanakwepa hii aibu bila kutazama madhara anayoyapata,wengine wanafanyiwa hiking kitendo kwa nguvu siyo kwa kutaka.
Ndoa hiyo inasimimamia misingi gani kisheria na kiimani? Tanzania hakuna sheria zunazohalalisha ndoa ya aina hiyo; hiyo sababu inatosha kabisa kuibatilisha ndoa hiyo, hata kwa imani ambayo hairuhusu talaka, Kanisa lita-facilitate kuvunjwa kwa hiyo ndoa.
Vv
kuna watu wamjua ila dharau
nimekuja kugundua wanandoa wanalana sana huo upande
Naomba ufafanuzi kidogo we masai dada, kama wapenzi wanakulana 071.. kabla kuoana. Je wakiona wanaacha au inakuwaje? Huyo mume akiiomba atakuwa anamdhalilisha mkewe?Nimeshasikia confession nyingi kwenye mitandao ya kijamii hasa kwa wanawake kuwa 'anapenda kinyume na maumbile' lakini hawezi mpa mumewe...na wanaume wengi nao wanapenda lakini hawathubutu kuwaomba wake zao. Hii inapelekea watu baki (michepuko) kuenjoy hiyo starehe. Kama umeamua hiyo ndo starehe yako...why not kwa mkeo au mumeo!?
hivi ukienda mahakamani ukasea kwamba hii ndo sababu ya kubatilisha ndoa yenu
unaruhusiwa kweli kuachana na hiyo ikawa sabb yakinifu
vipi kuhusu kanisani