Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huwezi kuliwa? Labda hauko dunia hii kuliwa utaliwa tuLabda sio Mimi diva yani over my dead body
Ni moja ya hadaa za Dunia tunatakiwa kuzipinga kwa nguvu zote!Mamy afadhali unayapinga haya [emoji122][emoji122]
Kweli...Ni moja ya hadaa za Dunia tunatakiwa kuzipinga kwa nguvu zote!
Hata mm nimeliona hilo wachangiaji wengi wanakuwa wanatoa post za kusifia huo uchafu,badala ya kuelezea madhara yakeThreads aina hii zinaanzishwa sana JF now days na zinawaharibu baadhi ya hata wale ambao hawajawahi kula/kuliwa kujikuta wanajaribu kufanya kwa wenza/wapenzi wao
So sad[emoji25] [emoji25]yaani wale jamaa kama kweli kiama kipo duuu,Mungu Atusamehe,maana mpaka wanajisifu,kama huyu Lex hadi anajisifu kuwa he is king of loopholes,jamaa wanawfukunyua mabinti hatar,kuna mmoja anitwa Flower Tucci,ameliwa tigo hadi amekua adict,na akili zimemfyatuka kabisa
Maradhi ni mengi jamani tuache kupotoshanaHata hayo machache pia ni maradhi
Ni kweli kwa maana wanawatia hamasa wengine ambao hawakua na fikra hizo waanze kujaribuKweli...
Ila naona haya mambo kuongelewa humu ni kuyapa promo
Sijui mtu unatoa wap wazo la kwenda nyuma wakati utamu wa mbele unatosheleza daah [emoji57][emoji57]Ni kweli kwa maana wanawatia hamasa wengine ambao hawakua na fikra hizo waanze kujaribu
Na hizo porno ndio zinazohalibu wengi MTU kila anachokiona mule anataka ajaribuMjomba punguza kuangalia porn, unawajua mpaka na majina
It will be[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Utafiti wako umeufanyanje ikiwa hili tendo linafanyika faragha? Au ndo mchezo wako
ni ufilauni na ushetani,mbona hata huko Mbele wengine hawakutumii ipasavyo kwann sasa wasiweke bidii kukutumia na badala yake wanakimbilia uchafuSijui mtu unatoa wap wazo la kwenda nyuma wakati utamu wa mbele unatosheleza daah [emoji57][emoji57]
Nafikiri kati ya mambo nitakayobakia mshamba kuyafanya ni hilo....ni ufilauni na ushetani,mbona hata huko Mbele wengine hawakutumii ipasavyo kwann sasa wasiweke bidii kukutumia na badala yake wanakimbilia uchafu
Allah aendelee kukuangazia Mawazo mema hayo hayo Daby,ila acha umalaya oa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nafikiri kati ya mambo nitakayobakia mshamba kuyafanya ni hilo....
Na Nashukuru sijawahi kutana na mwanamke anayetaka
[emoji23][emoji23]Allah aendelee kukuangazia Mawazo mema hayo hayo Daby,ila acha umalaya oa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lakini si ni ukweli? Acha zinaa,zinaa haijengi zaidi ya kukubomoa hebu iweke kando kwa sasa[emoji23][emoji23]
Naona aibu ujue...
Siwezi jibu kama ni kweli au la! Ila humu unaweza kutafsiriwa tofauti kutokana na utani utani eeeh.Lakini si ni ukweli? Acha zinaa,zinaa haijengi zaidi ya kukubomoa hebu iweke kando kwa sasa
Madaktari wanajua, wewe mwanaume siku ukipata au ukamuona mgonjwa aliyeathirika kwa style hiyo ya mapenzi akiwa kutibiwa katu hutarudia. Its more than dangerous. Surgery must be included to you.