Hizi mada za kula tigo zimekuwa nyingi mnoo. Kila mtu anayetaka kiki anaandika. Anageuza tu habari. Mara wimbi la mabinti....mara mpz ananilazimisha....n.k.
Nawaambia ukweli tunapochangia hii mada ya tigo ndo tunaipa promo sana. Niwaombe bila unafiki kwa aliyetayar tuache kuchangia hii mada, tuone kama zitaletwa tena.
Yapo mambo mengi sana ya msingi ya kujadili hatujadili kwa ushabiki kama huu. Ni upuuzi mtupu.