Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hivi kumbe mambo haya yapo duu ni kama [emoji241] [emoji241] [emoji241] hahaaa
 
Chuo= kupenda kujaribu,pole sana. Umewatukanisha wazazi wako waliokulea kwa misingi ya imani. Kama unajutia muache huyo mpenzi na uache huo ushetani.
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Nimequoter uzi wote ili uone comment yangu:
Si rahisi kuacha kwa sababu sperm zinavyoingia mkundun# huwa zinaenda kujificha mahali hivyo hukaa huko mpaka zinavyooza na kuanza kuwasha kwa sababu mkund hausafishiki kama kwenye kum@, na kila ukiwashwa hapo ndipo unapojisikia hamu ya kufanya tena, na ndio mana c rahisi kuacha endapo tu jamaa amemwagia ndani, (anafanya hivyo kukomoa)

Kiroho ili upone
Funga siku tatu ( siyo kavu) kwa ajili ya kuomba tobaa, tubu kweli kweli na moyo wako ukidhamiria kuwa unaacha, ikiwezekana mshirikishe rafiki ako wa kiroho akusaidie kufunga ( mfunge wote) pia funga tena siku tatu kwa ajili ya kumshukuru Mungu
 
Mkuu,jitahd ukasafishwe baada ya hapo achana na hyo michezo...,usiache kabla hujaenda kusafishwa!
 
Its all about MIND SET...
Iliingia bahati mbaya, ila ulipenda... Sasa umeichukia?

Kuendelea au kuacha it's all about you and your mind set
 
Dada yetu ameshakuwa tegemezi kiakili. Anaona kuachwa na huyu jamaa n mwisho wa maisha yake.
 
Pole sana ila nikwambie tu siku zote usipojithamini hakuna ambaye atakuthamini.

Ikiwa umeshaona kujaribu jaribu ni tabia yako hapo inabidi ujitahidi kuiacha na pia nikushauri tu acha kabisa huo mchezo sababu unaweza jiona unapata raha ila kuna madhara makubwa ambayo utakuja kuyapata huko baadae.
Mkuuu upo wewe???
 
Nimequoter uzi wote ili uone comment yangu:
Si rahisi kuacha kwa sababu sperm zinavyoingia mkundun# huwa zinaenda kujificha mahali hivyo hukaa huko mpaka zinavyooza na kuanza kuwasha kwa sababu mkund hausafishiki kama kwenye kum@, na kila ukiwashwa hapo ndipo unapojisikia hamu ya kufanya tena, na ndio mana c rahisi kuacha endapo tu jamaa amemwagia ndani, (anafanya hivyo kukomoa)

Kiroho ili upone
Funga siku tatu ( siyo kavu) kwa ajili ya kuomba tobaa, tubu kweli kweli na moyo wako ukidhamiria kuwa unaacha, ikiwezekana mshirikishe rafiki ako wa kiroho akusaidie kufunga ( mfunge wote) pia funga tena siku tatu kwa ajili ya kumshukuru Mungu
Sizani kama kufunga itasaidia ikiwa sperm bado zipo ndani na sinapoanza kualibika ule mtekenyo utakuwepo vilevile so ataendelea kuitaji dushe lingie topeni kutuliza muwasho wakw.. Muhim kama anania ya dhati kuacha uo uchafu asione haya aende akamwone daktali waingize bomba watoe huo uchafu apo atakua salama
 
Jamani naomba kuuliza maana nimetokea kujilaumu sana kujaribu hiki kitendo. Mimi ni mtu nlielelewa kidini na kimaadili sana ila tangu nimeanza chuo nimejikuta najaribu vitu tofauti ambavyo sikufanyaga nkiwa nyumbni. Kimoja wapo ni hiki ambacho kilitokea nkiwa na mpenz wangu ambae nipo nae hadi sasa tukiwa tunapoozeshana iliingia kunako kibahati mbaya(alikua amelewa) ila aliendelea kunifanya nkajikuta nanogewa na kupenda. Imekua mchezo wa mara kwa mara na mbaya zaidi nkiwa nasali au nkiwa kawaida nakuta na regret nakujilaumu kwanini nafanya ivo na najua fika ni dhambi isio sameheka.
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Unaogopa kuachwa kwa kufanya dhambi hiyo?Tafakari chukua hatua.
 
Hakuingia bahati mbaya
Aliingia akiwa marinda hayapo!
Mwili ni wako na hamna wa kukupangia cha kufanya,endelea kuburudika maana ni mali yako
 
Naombeni ushauri maybe utanifariji au kunibadilisha mana najaribu kuacha siwezi hasa pale mwenza ananitisha kuniacha.
Haiwezi kuwa bahati mbaya alifanya kusudi na ndiyo maana anakutishia kukuacha.
Na anajua kuwa wampenda sana na jua wazi rafiki zake wote ashawambia kuwa wewe ni useless anakula matako na huna ubavu wa kumuacha na kwa taarifa yako hakuthamini na wala hawezi kukuoa anakuona mjonga mjinga tu ndiyo maana ana kumiss use atakuja kuoa msichana ambaye hajaliwa jicho
 
Inasikitisha vijana wengi wameona bira kuingiliwa/kuingia topeni wewe sio mjanja.. Kanda za ngono zinatualibu sana vijana wa sasa.. Anyway dada yangu sitaki kukulaumu moja kwa moja maana vijana wengi tumejikuta tumelowea umo either kwa kurubuniwa na wapenzi au kutaka kujua chungu au tamu yake ini hipi. Ikiwa unauchukia kwa dhati uo mchezo ni vema ukamwone daktali (usione haya) kama jama aliwai kumwagia shahawa zake umo kunanamna ya kuzitoa.. Kumbuka kuendelea kuwepo kwa shahawa uko nyumanji ni kuendelea kufanya mchezo uo.
 
Back
Top Bottom