Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uamuee tuu...lakini kwa cha moto ulichokipata huwezi umia tena,.Kabisa sijui kama kuna maumivu ya mapenzi yatakayonitoa chozi tena
Usifanye moyo wako kua mguuum ivo, watu husamehe, nahusahau ,muhm ni kumpa nafasi ya yeye kukuonyesha kua uko alikokua alikosea ...kama uko single bado uo ndo ushaur wangu...ila km karudi naunamtu tayar poaaaa.Nilishamsamehe zamani sana ila siwezi kurudiana naye, aliniona simfai ndio maana aliniacha na kufunga ndoa na rafiki yangu kipenzi, sina nilichobadilika mpaka anione leo ndio nafaa kuwa mkewe!
Umeona eeeh! Nimemwambia ashike hamsini zake
Alikuwa na bahati kweli kweli, kupata mtoto Wa kiarabi ni majaaliwa eti.Siwezi kula kula matapishi! Nilimwambia arudi akalee mwanae wa kiarabu!
Kabisaaa mkimbize ........hawabadilikagi hao ndiyo asili yaoUmeona eeeh! Nimemwambia ashike hamsini zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kwa raha zote! Nilimwuliza kwahiyo umerudi? Alivyojibu ndio nilicheka mpaka machozi yakanitokaCheka mamii...kuna wakati wa kicheko na kilio..wakati wa kilio umeshapita sasa ni kicheko "laugh out loudly"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]staki kujua alikujibuje..wooii[emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kwa raha zote! Nilimwuliza kwahiyo umerudi? Alivyojibu ndio nilicheka mpaka machozi yakanitoka
Nilishatimiza amri ya mapendo kwa kumsamehe, inatosha. Nilimpenda sana hilo siwezi kukataa ila machozi yangu yalifuta mapenzi yote niliyokuwa nayo kwake.Usifanye moyo wako kua mguuum ivo, watu husamehe, nahusahau ,muhm ni kumpa nafasi ya yeye kukuonyesha kua uko alikokua alikosea ...kama uko single bado uo ndo ushaur wangu...ila km karudi naunamtu tayar poaaaa.
Kwan we moyo wako haumpendi??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeeh!Alikuwa na bahati kweli kweli, kupata mtoto Wa kiarabi ni majaaliwa eti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili apate nafasi ya kuniumiza tena?Mpe nafasi Tena
Kwanini Da' Vinci?Sina cha kuchangia
Aliishia kulia machozi na kusema nimsamehe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]staki kujua alikujibuje..wooii
Nipo shallow kwenye masuala ya mahusianoKwanini Da' Vinci?
Sana, yasikie kwa mwenzio usiombe yakukute!Aseeh watu mnapitia magumu.
Bora ubaki kuwa hivyo kuliko kupitia huu uzoefuNipo shallow kwenye masuala ya mahusiano
sawaAha poa na pole moyo ukipoa unitafute
Honestly, nisingeweza kuwa nae tena kwasababu amevunja IMANI yangu juu yake tena ile imani ya mwanzo ambayo haikuwa na mawaa wala unafiki ndani yake...ili niyafurahie maisha yangu sina budi kumkwepa kama ukoma[emoji16]tena wewe ni zaidi ya charming, ungekuwa wewe ungeamuaje kwa jambo hili?