Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Af nyie mnaosema ampe nafasi hammtakii mema.hayajawapata ndo maana..af kibaya jitu lishaoa..anampaje nafasi apo???ndoa ya bomani ndoa gani?amekosa nn Dada wa watu akaende kufunga ndoa na shetwani alie mliza vibaya?????..usirudi dada... Songa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hivi vitu hivi.. basi tu moyo wa mtu kichaka. Na hamna feeling nzurii kama uone mtu kama huyo anakulilia wakati wewe ushamove on. Apambane na huba lake. Nimemsindikiza na tusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi ya kijinga sana, kadri miaka inavyoenda na mfumo wa maisha na umri kuwa mkubwa hao wanaweza kurudi katika mapenzi, ila kwangu mm kama mwanaume lazima nitaogopa kwa kitendo cha mtu kuja kuona unafunga ndoa ni ujasiri hata ukirudiana naye kuna siku anaweza akakuondoa duniani au akakufanyia kitendo kibaya sana. Sema wanawake nao huwa ni wepesi wa kusamehe na kusahau

Kweli tunasamehe but no to zat eksentent. Yani uniache ukamuoe rafiki yangu halafu nikusamehe? Hell to the freaking NO. Mwanaume anaeweza date rafiki yangu anaweza akatongoza hata ndugu zangu. Huyo mwanaume hafai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af nyie mnaosema ampe nafasi hammtakii mema.hayajawapata ndo maana..af kibaya jitu lishaoa..anampaje nafasi apo???ndoa ya bomani ndoa gani?amekosa nn Dada wa watu akaende kufunga ndoa na shetwani alie mliza vibaya?????..usirudi dada... Songa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wa kwako nae aliwahi kurudi?
 
Aisee, sikujua alivyojibiwa kwa kua nilikua napita kwa spidi kali sana na siku zote sikio halina pazia.

Pole sana bibie, nimefarijika kuona ume "move on"

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante swahiba, kushindwa kumove on ingekuwa kujitesa zaidi! Nadhani sasa umeelewa nilivyosema mimi ni M/kiti wa wanao move on
 
Back
Top Bottom