Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Kutofanya kwao hakulifanyi tendo kuwa haramu!. Na labda tuulizane ni ndoa ngapi umezitembelea ukakuta hazifanyi!?..Sasa inakuaje walio kwenye ndoa wengi hawafanyi wao kwa wao? Unakuta mume anafanya kwa mchepuko, na mke vile vile. Kama Ni halali kwao kwanini wasijipe raha wanafanya kwa kificho huko nje?
Kutofanya inaweza kuwa sababu ya kuogopana au kuoneana aibu!, ni wanandoa wangapi wanaweza kuwa wanaenda bar pamoja kulewa?, nao tuseme ni dhambi?.