Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Sasa inakuaje walio kwenye ndoa wengi hawafanyi wao kwa wao? Unakuta mume anafanya kwa mchepuko, na mke vile vile. Kama Ni halali kwao kwanini wasijipe raha wanafanya kwa kificho huko nje?
Kutofanya kwao hakulifanyi tendo kuwa haramu!. Na labda tuulizane ni ndoa ngapi umezitembelea ukakuta hazifanyi!?..
Kutofanya inaweza kuwa sababu ya kuogopana au kuoneana aibu!, ni wanandoa wangapi wanaweza kuwa wanaenda bar pamoja kulewa?, nao tuseme ni dhambi?.
 
Mwaya hiyo kitabuu yenu ya kuiga mambo ya watu sijui ila hao wakina ostadh wameniacha kisa sitoi tigo wakaoa watoa tigo.
Kisa tigo ni suna tena wanaambiwa mwanamke akiwa katika hedhi ni halali kumwomba huko.
Ili haja yako uitulize.
Mimi nikiwaga huko wanadai ni haki yao kupewa huko ukikataa ugomvi visa nikaona tuachane.
Sitoi tigo yangu aisee maana Mungu aliweka nikaitumie kwa kutolea choo na

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu ukweli labda ulishaga toa ata mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaongea vitu wasivyovijua.... au wamevisikia tu... kiuhalisia mtu ukitoka kufumua marinda utaenda kukojoa, na pia njia ya mkojo sio bomba la maji kiasi kwamba kitu kigumu kama mavi kiingie kuziba...... huo ni uongo mtu.... ulambi....
Pole Sana wenzako wanaotolewa mavi kwenye milija bila ganza waulize watakwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutofanya kwao hakulifanyi tendo kuwa haramu!. Na labda tuulizane ni ndoa ngapi umezitembelea ukakuta hazifanyi!?..
Kutofanya inaweza kuwa sababu ya kuogopana au kuoneana aibu!, ni wanandoa wangapi wanaweza kuwa wanaenda bar pamoja kulewa?, nao tuseme ni dhambi?.
Kama mnasema pombe ni haramu haiwezi ikawa halali kwa wanandoa
 
Kama mnasema pombe ni haramu haiwezi ikawa halali kwa wanandoa
Me Mkristo tena MKATOLIKI kuna uzi nimetoka mwambia mtu flani kuwa wakatoliki tuna mpaka Mtakatifu wa pombe anaitwa SAINT ARNOLD OF SOISSONS na kuna Mtakatifu wa Bartenders anaitwa SAINT AMAND leo iweje niseme POMBE HARAMU!?..
 
Mimi Ni mkatoliki pia, pombe kwangu ni sawa. Nawazungumzia wengine ambao wanaamini ni haramu kwao.
 
Kingine mwanaume akiruka ukuta kwa mwanamke baadae Huenda kwa mwanaume na mwishoni hugeuzwa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona mie bado naruka upande uleule sijabadili kabisaa na sina wazo la kubadili eti nimgeukie dume mwenzangu loh kwani wanawake wameisha. ntaendelea na 0715 kwa ke[emoji126] tu[emoji108] [emoji12] [emoji160] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutofanya kwao hakulifanyi tendo kuwa haramu!. Na labda tuulizane ni ndoa ngapi umezitembelea ukakuta hazifanyi!?..
Kutofanya inaweza kuwa sababu ya kuogopana au kuoneana aibu!, ni wanandoa wangapi wanaweza kuwa wanaenda bar pamoja kulewa?, nao tuseme ni dhambi?.
ambaruuuut[emoji12] [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom