katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui wakoje yaani starehe zote mpk uchokoche nyumaaa!!!mabshdufbdvabsjdvsn wotee wanaofanya
Acha kwanza wewe na sisi tutaachaMchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.
Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kujali kumtumia mwanaume mwenzake au mwanamke.
Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.
Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:
Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.
Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.
Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).
Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.Tano: Kuharisha.
Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi)
Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.
Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.
Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo.
Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?
Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.
Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake.
Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondolee riwaya zako hizo zilizoletwa kwenye majahaziWale wanaume wa sodoma waliotaka kulala na wageni(wanaume) wa lutu kimwili pamoja na wageni (malaika) kuwapiga upofu bado waliendelea kupapasa ili waupate mlango walale na wageni hao kwa nguvu,,,
Hayo yalikuwa ni moja ya madhara ya moja kwa moja ya tabia yao ovu lakini hawakusikia na kujutia uovu wao na baadae wakaangamizwa kwa moto kwa sababu sikio la kufa halisikii dawa laiti wangetubu na kuacha uovu huo wangeokoka usiku ule na lutu...
Hata leo watu wamefanya ni fasheni na sehemu ya maisha ndio sababu hata hapa kebehi ni nyingi kumlenga mtoa mada ila ukweli ni kuwa ndugu msipobadilika na kumuhofu Mungu na kuacha hayo matendo maovu kweli siku ipo karibu ambapo anguko na kilio kwenu vitakuwa mzigo mzito unaelemea.... Wapenzi Tubadilike kuna kila sababu ya kumuhofu Mungu na kufanya yote tufanyayo kwa utukufu wake
Hiyo mivitabu yenu ndio inaifanya dunia kuwa sio sehemu salama tena, watu mnachinjana eti kwa jina la huyo huyo mnayemuita Mungu!! shame on you!hayo. ni mapepo ,shetani ni mjanja sana aliona kitu pekee cha kumuangamiza mwanadam wa sasa ni ngono, WE NEED A MIRACLE
Pumbavu na kukemea kwa jina la Yesu na wewe ni shetani huna mamlaka duniani ulishatupwa kuzimu huko ndio kwako blood full ndio maana wewe ni takataka.Hiyo mivitabu yenu ndio inaifanya dunia kuwa sio sehemu salama tena, watu mnachinjana eti kwa jina la huyo huyo mnayemuita Mungu!! shame on you!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu nyie niwatu mnakichaa tokea mwanzo tena nyie ni wanafki sana.Mtandao pendwa kwa sasa Tanzania, na unawatumiaji wengi sana ila wasio julikana ni "tigo" wengi wanauoponda ila hao hao ndo wapo mstari wa mbele kuutumia
Yani si tuache vitu vitamu kwa kukosa kwako chura?! Kha! Usitutishe!!!
Mbona husemi hayo maneno basi tukuone wewe ni wewe takataka kabisa.Yani si tuache vitu vitamu kwa kukosa kwako chura?! Kha! Usitutishe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
utakufa acha ubishiUsitutishe!!(in Maalim's voice)
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanya unachukiiiiia, ukiwa chumbani unatoa tu! kudadadeki!!Mbona husemi hayo maneno basi tukuone wewe ni wewe takataka kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
usikute hata wewe unatumiaTatizo lenu nyie niwatu mnakichaa tokea mwanzo tena nyie ni wanafki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app