Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.

Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Tanzania yetu unao uiona hapa ina zahanati nyingi hazina dawa na madakitari ila hamna kituo cha police au Askari anae kosa Ak 47, maanake hatuko kwenye vita, ila panadoh zina kosekana lisasi hazikosekani.
Katika taifa lolote ulizi ni muhimu kuliko chakula mkuu
 
Tanzania yetu unao uiona hapa ina zahanatu nyingi hazina dawa na madakitari ila hamna kituo cha police au Askari anao kosa Ak 47, maanake hatuko kwenye vita, ila panadoh inakosekana ila lisasi hazikosekani.
Katika taifa lolote ulizi ni muhimu kuliko chakula mkuu
Sasa huko Gaza Hamas wanajilinda dhidi ya nani??
 
Pesa za Chakula ndio hizo HAMAS wa brazaj wanazitumia kutengeneza roketi na mahandaki.

Sio kweli. Israel inafanya makusudi kufunga mipaka yote kwa kusaidiwa na Marekani. Walishasema hao Wapelestina ni watu wanyama hawastahili maji, hewa, chakula ,dawa nk.
Sasa hawana haki ya kujikomboa? Mbona Msumbiji, Afrika ya kusini, zimbabwe wapigania uhuru walipigana ma wakisaidiwa na Tanzania. Sasa hawa watu hawana haki ya kujikomboa kutoka katika dhulma. Watu wa magharibi wanawakandamiza kisha wakijitetea wanaitwa magaidi.
 
Wako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.
Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inatokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date
 
Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inayokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date

Kuanzia mwaka 1937-1945 hao watoto wateule wako walivamia palestine na kuua ovyo wazayuni waliotoka Ulaya magharibi … wakanyang’anya nyumba za wapelistina na kuwafanya wakibizi.
Hii vita haikuanza leo bali miaka 85 iliyopita.
Mwaka 1982 wayahudi waliruhusu wapelestina 3,500 kuchinjwa muda wa masaa 5, wao yao baada ya miaka 41 wao wameuawa 1,200 na kulipiza kuua mpaka sasa wapalestina 45,000 kwa makusudi tu. Na karibu 100000 majeruhi ndio maana Afrika ya kusini iliwashitaki kwenye korti ya dunia. Je wewe huyaoni yote haya?
 
Ukizaliwa tu Gaza automatically unakua mpiganaji
Na itaendelea hivyo mpaka haki itakapopatikana. Waliouliwa baba zao, mama zao ndugu zao ndiyo watakuwa wapigania uhuru wao kesho, Haijalishi hizo propoganda za kuwaita magaidi su sio hizo ni mbinu tu za ukandamizaji. Wao wenyewe wanaua kila mahali juzi juzi tu Iraq bila sababu.
 
Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inayokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date
1948 israhell ilivamia palestina hatimae mateso kwa wapalestina yapo kila leo
 
Back
Top Bottom