Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

Mkuu Kitakuta Salam.
Hao waliovamia Palestina katika ya mwaka 1937 - 1945 walitoka taifa gani? Ninavyojua mipaka ya sasa iliyo rasmi ya taifa LA Israel ilikuwa haijarasimishwa.
Ahsante
Nchi nyingi za ulaya magharibi walikuja Palestine. Waingereza wakoloni wakiitawala Palestine walisha set mipango tangu 1920 Balfour declaration
 
Nchi nyingi za ulaya magharibi walikuja Palestine. Waingereza wakoloni wakiitawala Palestine walisha set mipango tangu 1920 Balfour declaration
Kwa maelezo yako hapa, unakiri kwamba waliovamia Palestina kwenye kipindi tajwa hawakutoka taifa LA Israel.
 
Kwa maelezo yako hapa, unakiri kwamba waliovamia Palestina kwenye kipindi tajwa hawakutoka taifa LA Israel.

Israel haikuwepo kabla ya 1948. Ilikuwa Palestine. Wavamizi wakaitwaa kwa kutumia ugaidi wa hali ya juu wakisaidiwa na mkataba waliokubaluana na waingereza ndio kuundwa hiyo kwa kuwafanya wakimbizi. Hao Gaza ni wakimbizi waliokuwa wakiishi huko mnakopaita Israel
 
Pesa za Chakula ndio hizo HAMAS wa brazaj wanazitumia kutengeneza roketi na mahandaki.

Bila shaka hata hujui kuwa imeandikwa, mtu hataishi kwa mkate peke yake.

No wonder mijitu mizima mko busy kusakanya mabikra.

Bure kabisa!
 
Mkuu tafadhari niambie umri wako na kiwango chako cha elimu kwasbb nashindwa hata kukujibu.....
Hiyo nayo ni namna nzuri ya kukwepa kujibu swali. Unashindwaje kujibu swali rahisi kama hilo mkuu? Umri na elimu yangu vina uhusiano gani na swali. Tusijaze server za JF kwa kurefusha mambo. Lini Israel aliwahi kwenda kuanzisha vita na Palestinians bila kuchokozwa? Simple as that
 
Rockets ndio uhai wa ardhi yao kwa sasa utegemee wazikose tena
 
Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948

Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Mihela waliyowekeza kujenga mihandaki wangeiwekeza kwenye sekta za kiuchumi na miundombinu wangekuwa zaidi ya Doha.
Ila kwa kichapo walichokipata sidhani vita ikiisha watarudia tena kosa la 07/10
 
Mihela waliyowekeza kujenga mihandaki wangeiwekeza kwenye sekta za kiuchumi na miundombinu wangekuwa zaidi ya Doha.
Ila kwa kichapo walichokipata sidhani vita ikiisha watarudia tena kosa la 07/10
Kama manyanyaso yataendelea 7/10 ni must kurudiwa tena na hamas walisema hivyo walipokua wakisherehekea hio 07/10 juzi
 
Kama manyanyaso yataendelea 7/10 ni must kurudiwa tena na hamas walisema hivyo walipokua wakisherehekea hio 07/10 juzi

Hiyo ni habari mbaya mno kwa masayuni ya huku Goba!
 
Na kwanini vita huko Palestina huwa wanauwawa WANAWAKE na WATOTO tu?
 
Wako watu 2.3m kuna uhitaji wa usalama na Amani, pia kuna walowezi wa Israel wanao wavamia, pia kuna Israel na Marekani wanao taka kuchukua nchi yao.
Kuchukua nchi gani wakati eneo lolote lilichukuliwa na Israel 1967.
 
Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
View attachment 3131948

Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Priority tu, ni kama hapa Tanzania tu, pesa za kununua wapinzani na machawa tunazo, ila vyoo vya shule tunajengewa kwa msaada wa watu wa Marekani
 
Back
Top Bottom