Mkuu tafadhari niambie umri wako na kiwango chako cha elimu kwasbb nashindwa hata kukujibu.....Hivi kuna historia ya Israel kwenda kuwavamia Wapalestina wakati wowote? Mbona sikumbuki siku hiyo? Mara zote vita inayokeaga pale soon Israel inapovamiwa. Anyway, nikumbusheni hiyo siku Israel aliwahi kuvamia makazi ya Wapalestina bila sababu yoyote; you may re- call hadi mwaka 1980 to-date